Dar: Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Walemavu waliofunga barabara

Mhh, tunakoelekea sio kuzuri. Hivi watumie nyenzo gani ili waweze kujongea? Hayo mabasi yetu mengi hayana uwezo wa kusafirisha baiskeli zao. Kinachotakiwa wawatengenezee utaratibu mzuri wa kuweza kusafiri pamoja na vifaa vyao.
Taifa la tanzania Tuna laana ya kuufuata ujamaa
 
Uliishawahi kutana na mlemavu ktk harakati zako???.

Aliishanikwangua gari yangu na bajaji yake,nashuka kumuuliza nilioga matusi nikabaki nimeduwaa kama mjinga.
Ha ha ha! Pole mkuu. Ki ukweli in wakorofi na hii inatokana na hali zao. Hao watu wa kuhurumiwa. Polisi kutumia nguvu kupita kiasi kwa mtu asiyeweza kukimbia au kukurushia ngumi naona kama ikipitiliza.
 
Taifa la tanzania Tuna laana ya kuufuata ujamaa
Hawa wangeondoka hata kwa maneno. Haikupasa kutumia nguvu. Hebu niambie hawa watu unapowapiga mabomu watakimbia namna gani? Au unataka kuwaongezea ulemavu mwingine?
 
Hawa wangeondoka hata kwa maneno. Haikupasa kutumia nguvu. Hebu niambie hawa watu unapowapiga mabomu watakimbia namna gani? Au unataka kuwaongezea ulemavu mwingine?
Machozi yananilengalenga.
Ndio kazi lilitumwa li IGP ziro
 
nliskia lengo ni kubakiza wafanya kazi tu city center watafata wenye myamvuli na vocha soon nahisi
 
Wanatutoa kwenye bajeti wakatuletea michanga yao leo wamekuja na walemavu jamani..
 
Back
Top Bottom