Dar: Philip Mangula aanguka gafla, alazwa ICU. Rais Magufuli amjulia hali

No ni fatigue, kama alipona kashikashi za JK kumfukuza uanachama, mengine ni etc that do not carry weight

Kumbe pia aliwahi kutimuliwa toka CCM ! Ilikuwa Lini hiyo ili taarifa ziwepo katika kumbukumbu za siasa za chama hicho kongwe.
 
Inawezekana mangula hakuwa tayari membe afukuzwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliangalia ile video clip, body language ya vigogo wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wengine walikuwa hawaafiki kimoyomoyo. Cheki Mwenyekiti wa CCM alivyoingia kuongoza kikao huku Polepole akichombeza nyimbo za CCM lakini miili ya vigogo na sura zao zaonyesha taharuki wakati kikao kikiazimia agenda : cheki video yenyewe

 
Back
Top Bottom