Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,180
- 188,681
Kiherehere hiki, hata hukuelewa kitu...Hizo zinaitwa lucid dreams...yaan wakikaa wanaiota Dar halafu huku kwa keyboard wanaiponda,ha ha haaa
Kiherehere hiki, hata hukuelewa kitu...Hizo zinaitwa lucid dreams...yaan wakikaa wanaiota Dar halafu huku kwa keyboard wanaiponda,ha ha haaa
Kumbe!! Sikuwahi kujua, me uwa nasikia kwa makonda humo Kilombero wakinadi daladala zao.Ni Mbezi Dampo, sasa wanafupisha wenyewe wanaita Mbezi da
Kwani amezungumzia suala la upatikanaji wa pesa au mandhariDar mzunguko wa pesa ni mkubwa sana huwezi kufananisha na arusha alisikika jamaa mmoja akinena
Mtoa mada upo sahihi kabisa, Dsm naifahamu vizuri nimekaa kwa muda mrefuYaani Dar es salaam ni mji wa hovyo sana. Vinyesi siku za mvua watu wanafungulia mikondo kila kona. Mito ya maji ni michafu. Maji ya kunywa ni machafu na yana ladha mbaya. Mji unanuka nuka uchafu tu. Joto la mji hadi kero. Mapipe ya maji mtaani yamechimbiwa juu kwa juu yamepasuka na mengine yanapita kwenye mabafu na vyoo vya watu.
Yaani Dar ni kuzimu tena jehanam. Mji umejaa mbu tu na inzi na harufu mbaya muda wote. Kibaya zaidi kuna joto. Huwezi kuifananisha Dar na hata kwa miji mitakatifu kama Arusha na Nairobi, Dar ni kuzimu kabisa. Aliyeweka wazo la Dar iwe mji wa kibiashara na makao ya serikali miaka ile alifanya makosa makubwa sana, hapafai kuitwa hata Manispaa huku pabaya sana
Joto mpaka kero. Maji machafu kila mtaa. Mipira ya maji ya kuchwa imepita juu kabisa imechanika chanika imefungwa na malboro. Majengo mabovu maji ya mvua kila mahali. Mji hauna mpangilio kabisa huu upo hovyo hovyo. Pabaya pananuka kama chooni. Mbu utadhani ni hospitali ya kuzalisha mbu, pabaya sana. Foleni kila mahali mji mbaya sana huu.
What a hell?
Suala la maisha bora, huko unakozungumzia huwezi kusikia kuna njaa, ni kukame lakini kuna maziwa, nyama, na mahindi hata kama hawalimi basi wananunua...mpk Manyara ni hivyoUsidanganye watu. Huko Longido, Monduli na Ngorongoro watu wanaishi kama enzi za mawe. Aidha huko Kilimanjaro baadhi ya maeneo kama Tarekea, Same na Sanya maisha ni magumu sana. Nenda huko Simanjiro na Kiteto hali ile ile. Leo unasema eti kaskazini kuna afadhali. Siyo kweli.
PointlessArusha idadi ya watu ni ndogo na sio kwamba usafiri upo wa kutosheleza ...#pointofcorrection
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata shida kubishana na waimba taarabu wa Dsm, halafu wote wamefanana sio wanaume sio wanawakeNasoma comment yako afu nacheka tu hihihiiiii.... Dar inaboaaa 99.99% bisha hapa uko nyuma ya keyboard ila kwenye uhalisia huko mnahangaika vya kutosha.
Arusha haiboi wacha unafikii
Yaani wanawake wa Dar mnaizidi Arusha kwa mipasho tu na maneno mengi, vingine hakunaYani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.
New York ya Tanzania hiiDar ni New York ya Tanzania. Take it or die ila ukweli ndio huo
Jijini hapo, hakuna mahali Tarakea kuko hivi. HahahaTarakea hiyo hiyo yene ukame kama jehanum. Acha ufala
Tupaote huku?Hizo zinaitwa lucid dreams...yaan wakikaa wanaiota Dar halafu huku kwa keyboard wanaiponda,ha ha haaa
Hivi ndivyo Dsm ilivyo kwa sehemu kubwa, leave away pollution, traffic jam n the like, huu ni muonekano tuAlafu kamalizia what is the hell sijui ndio kiingereza cha wapi by the way umefikia wapi kuu malamba mawili ndani ndani huko au uko tandale kwa mkunduge weekend waambie wenyeji wako wakulete mbezi beach chini huku then wakupeleke mikocheni uende hadi msasani uje masaki ostabei uende hadi upanga akupeleke na tabata then uje tena kuhariri uzi wako
Ndio maana nampongeza sana JPM kuhamisha serikali Dodoma.Jijini hapo, hakuna mahali Tarakea kuko hivi. HahahaView attachment 1600570
Yaani Dar es salaam ni mji wa hovyo sana. Vinyesi siku za mvua watu wanafungulia mikondo kila kona. Mito ya maji ni michafu. Maji ya kunywa ni machafu na yana ladha mbaya. Mji unanuka nuka uchafu tu. Joto la mji hadi kero. Mapipe ya maji mtaani yamechimbiwa juu kwa juu yamepasuka na mengine yanapita kwenye mabafu na vyoo vya watu.
Yaani Dar ni kuzimu tena jehanam. Mji umejaa mbu tu na inzi na harufu mbaya muda wote. Kibaya zaidi kuna joto. Huwezi kuifananisha Dar na hata kwa miji mitakatifu kama Arusha na Nairobi, Dar ni kuzimu kabisa. Aliyeweka wazo la Dar iwe mji wa kibiashara na makao ya serikali miaka ile alifanya makosa makubwa sana, hapafai kuitwa hata Manispaa huku pabaya sana
Joto mpaka kero. Maji machafu kila mtaa. Mipira ya maji ya kuchwa imepita juu kabisa imechanika chanika imefungwa na malboro. Majengo mabovu maji ya mvua kila mahali. Mji hauna mpangilio kabisa huu upo hovyo hovyo. Pabaya pananuka kama chooni. Mbu utadhani ni hospitali ya kuzalisha mbu, pabaya sana. Foleni kila mahali mji mbaya sana huu.
What a hell?
tofauti ya dar na mzizima ni nini?Dar imegawanyika sehemu kuu mbili.
Dar na Mzizima. Hayo uliyosema hapo juu yapo Mzizima siyo Dar.
vipi kuhusu ololoUkishuka unga ltd, muriet sokon one nyumba za mbavu za mbwa nyumba INA vyumba vinne Ila wapangaji familia 5. Na mbuzi zimefugwa humo humo. Njiro wanayoisifia kua ushuani haina tofauti Na goba
Mnajisifu kwa foleni wakati mnapoteza muda.Ukubwa wa foleni za Dar unachangiwa pakubwa na wingi wa magari na vyombo vya moto vingine. Kuwepo kwa foleni nyingi kunatokana na ukubwa wa mzunguko katika eneo husika. Sasa huko kwenye magari elfu moja tu mtategemea foleni kweli? Amini nakuambia magari yaliyopo DSM tukiyatoa yote tukayaamishia Arusha na Mwanza, hamtafika makwenu kwa foleni.
Kuna jamaa yangu mmoja kutoka shamba alikaa kibarazani kwenye barabara ya vumbi tu ya mtaani kwetu na kuanza kuhesabu magari yanayopita hapo, kwa masaa mawili tu alihesabu magari zaidi ya 700. Na izingatiwe ni mtaani ndani ndani huko.
Ni kweli bado sana maana huko mvua ikinyesha unaweza jiuliza nipo dar au makete..Yani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.