Dar ni mji hovyo kabisa huwezi hata kuifikia Arusha

Niko Aru...lakini siwezi pinga hoja yako maana hizo sehemu ulizotaja sijawai fika, misele yangu napigia Town, moshono, Njiro nikienda mbali ni USA- momela na Sakina kiasi
Kila jiji / Mkoa kuna sehemu zake nzuri na mbovu, ila maisha ya dar ni rahisi na yenye kuboa wakati wote ubishe ukubali
maji ya uhai lita na nusu jero duu nimeshangaa sana chuga maji nusu lita 600
 
Nimecheka kama kichaaeti miji mitakatifumalalamiko haya ni kiboko yaani nimecheka hadi majirani nadhani wamesikia
ila dar kweli wamezidi uchafu jana mimi nilikua mtaa wa congo kuna maji yamesambaa barabara nzima yamejaa kinyesi watu ni unapita mishe zinaendelea kama kiatu ni kifupi unavua unakanyaga kwa raha zako afu kwenye mbu jomba uko sawa me nipo tabata lakin sa mbili ujifanye unaangalia habari labda ukae na net. chuga hakunaga mbu kabisaa
 
Ukweli mtupu tatizo dar ndo kilakitu Tanzania yani kila mwananchi anawish kuingia dar iwe kutembea au biashara ni wakati wakuijenga miji mingine ..
 
Ukweli mtupu tatizo dar ndo kilakitu Tanzania yani kila mwananchi anawish kuingia dar iwe kutembea au biashara ni wakati wakuijenga miji mingine ..
Ndio maana Magu kaona akaijenge Dodoma, haiwezekani nchi iwe dependant kwa jiji moja tu. Leo hii likitokea tatizo kubwa Dar ambalo likasitisha shughuli za uzalishaji na biashara basi nchi haitaenda. Kama over 75% ya revenue inatoka Dar tu, usitegeme kabisa miji mingine kufanya vizuri.

Jiji hili pamoja na yote ni la hovyo tu, japo wanajitahidi kulisafisha kwa sasa, Ila watu wengi tuko wachafu sana, mazingira yetu ni machafu.
 
Miaka 60 ya uhuru
ila dar kweli wamezidi uchafu jana mimi nilikua mtaa wa congo kuna maji yamesambaa barabara nzima yamejaa kinyesi watu ni unapita mishe zinaendelea kama kiatu ni kifupi unavua unakanyaga kwa raha zako afu kwenye mbu jomba uko sawa me nipo tabata lakin sa mbili ujifanye unaangalia habari labda ukae na net. chuga hakunaga mbu kabisaa
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom