Dar ni mji hovyo kabisa huwezi hata kuifikia Arusha

Yaani Dar es salaam ni mji wa hovyo sana. Vinyesi siku za mvua watu wanafungulia mikondo kila kona. Mito ya maji ni michafu. Maji ya kunywa ni machafu na yana ladha mbaya. Mji unanuka nuka uchafu tu. Joto la mji hadi kero. Mapipe ya maji mtaani yamechimbiwa juu kwa juu yamepasuka na mengine yanapita kwenye mabafu na vyoo vya watu.

Yaani Dar ni kuzimu tena jehanam. Mji umejaa mbu tu na inzi na harufu mbaya muda wote. Kibaya zaidi kuna joto. Huwezi kuifananisha Dar na hata kwa miji mitakatifu kama Arusha na Nairobi, Dar ni kuzimu kabisa. Aliyeweka wazo la Dar iwe mji wa kibiashara na makao ya serikali miaka ile alifanya makosa makubwa sana, hapafai kuitwa hata Manispaa huku pabaya sana

Joto mpaka kero. Maji machafu kila mtaa. Mipira ya maji ya kuchwa imepita juu kabisa imechanika chanika imefungwa na malboro. Majengo mabovu maji ya mvua kila mahali. Mji hauna mpangilio kabisa huu upo hovyo hovyo. Pabaya pananuka kama chooni. Mbu utadhani ni hospitali ya kuzalisha mbu, pabaya sana. Foleni kila mahali mji mbaya sana huu.

What a hell?
Mtoa mada upo sahihi kabisa, Dsm naifahamu vizuri nimekaa kwa muda mrefu

Ni kuchafu, kunanuka vinyesi ya chemba zilizoachwa hovyohovyo kwasbb ya poor sewage system, takataka mitaroni ni mingi kutokana na population kubwa, kuna foleni kubwa ya watu na Vifaa vya moto, kuna joto Kali mno.

Ni kuchafu sana na hakuna miti ya kutosha kwaajili ya vivuli na kuneutralize temperature ya jiji.

Pachafu, pahovyo, pananuka
 
Usidanganye watu. Huko Longido, Monduli na Ngorongoro watu wanaishi kama enzi za mawe. Aidha huko Kilimanjaro baadhi ya maeneo kama Tarekea, Same na Sanya maisha ni magumu sana. Nenda huko Simanjiro na Kiteto hali ile ile. Leo unasema eti kaskazini kuna afadhali. Siyo kweli.
Suala la maisha bora, huko unakozungumzia huwezi kusikia kuna njaa, ni kukame lakini kuna maziwa, nyama, na mahindi hata kama hawalimi basi wananunua...mpk Manyara ni hivyo

Ndio maana kwenye taarifa ya yule naibu Waziri mwaka Jana akitaja mikoa mitano yenye umasikini zaidi Tanzania baada ya tafiti akaitaja hadi Mwanza lakini mpaka top 20, hakukuwa na mkoa wa kaskazini hata mmoja.

DSM ni kama kuzimu
 
Nasoma comment yako afu nacheka tu hihihiiiii.... Dar inaboaaa 99.99% bisha hapa uko nyuma ya keyboard ila kwenye uhalisia huko mnahangaika vya kutosha.
Arusha haiboi wacha unafikii
Utapata shida kubishana na waimba taarabu wa Dsm, halafu wote wamefanana sio wanaume sio wanawake

Usiisahau hiyo ni dar
 
Yani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.
Yaani wanawake wa Dar mnaizidi Arusha kwa mipasho tu na maneno mengi, vingine hakuna
 
Attachments

  • images%20(29).jpg
    images%20(29).jpg
    9.9 KB · Views: 1
Alafu kamalizia what is the hell sijui ndio kiingereza cha wapi by the way umefikia wapi kuu malamba mawili ndani ndani huko au uko tandale kwa mkunduge weekend waambie wenyeji wako wakulete mbezi beach chini huku then wakupeleke mikocheni uende hadi msasani uje masaki ostabei uende hadi upanga akupeleke na tabata then uje tena kuhariri uzi wako
Hivi ndivyo Dsm ilivyo kwa sehemu kubwa, leave away pollution, traffic jam n the like, huu ni muonekano tu
IMG_8042.jpg
 
Nimecheka kama kichaaeti miji mitakatifumalalamiko haya ni kiboko yaani nimecheka hadi majirani nadhani wamesikia
Yaani Dar es salaam ni mji wa hovyo sana. Vinyesi siku za mvua watu wanafungulia mikondo kila kona. Mito ya maji ni michafu. Maji ya kunywa ni machafu na yana ladha mbaya. Mji unanuka nuka uchafu tu. Joto la mji hadi kero. Mapipe ya maji mtaani yamechimbiwa juu kwa juu yamepasuka na mengine yanapita kwenye mabafu na vyoo vya watu.

Yaani Dar ni kuzimu tena jehanam. Mji umejaa mbu tu na inzi na harufu mbaya muda wote. Kibaya zaidi kuna joto. Huwezi kuifananisha Dar na hata kwa miji mitakatifu kama Arusha na Nairobi, Dar ni kuzimu kabisa. Aliyeweka wazo la Dar iwe mji wa kibiashara na makao ya serikali miaka ile alifanya makosa makubwa sana, hapafai kuitwa hata Manispaa huku pabaya sana

Joto mpaka kero. Maji machafu kila mtaa. Mipira ya maji ya kuchwa imepita juu kabisa imechanika chanika imefungwa na malboro. Majengo mabovu maji ya mvua kila mahali. Mji hauna mpangilio kabisa huu upo hovyo hovyo. Pabaya pananuka kama chooni. Mbu utadhani ni hospitali ya kuzalisha mbu, pabaya sana. Foleni kila mahali mji mbaya sana huu.

What a hell?
 
Ukubwa wa foleni za Dar unachangiwa pakubwa na wingi wa magari na vyombo vya moto vingine. Kuwepo kwa foleni nyingi kunatokana na ukubwa wa mzunguko katika eneo husika. Sasa huko kwenye magari elfu moja tu mtategemea foleni kweli? Amini nakuambia magari yaliyopo DSM tukiyatoa yote tukayaamishia Arusha na Mwanza, hamtafika makwenu kwa foleni.
Kuna jamaa yangu mmoja kutoka shamba alikaa kibarazani kwenye barabara ya vumbi tu ya mtaani kwetu na kuanza kuhesabu magari yanayopita hapo, kwa masaa mawili tu alihesabu magari zaidi ya 700. Na izingatiwe ni mtaani ndani ndani huko.
Mnajisifu kwa foleni wakati mnapoteza muda.

Dar ndo kule ambapo mvua ya manyunyu ikinyesha kwa siku moja kuna furika maji?
 
Yani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.
Ni kweli bado sana maana huko mvua ikinyesha unaweza jiuliza nipo dar au makete..
Mvua ndo inatupa taswira khalisi ya ilo jiji la dar.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom