Lema: Dar ni Jiji la Hovyo Limejaa Fremu Kila Mahala. Ahoji Mipango Miji Wanafanya Kazi gani?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,056
49,743
Inashangaza kuona Lema eti Leo ndio anahoji Dar kuwa Jiji la hovyo lilolojaa Mafremu Kila mahala wakati huo Mji uliharibika kitambo sana.

Mara nyingi tumesema Moja ya Majiji ya hovyo kuishi ni Dar maana ukiacha Mafremu Kila sehemu pia ni kama dempo kubwa maana ni limji limejengwa kiholela na Lina mrundioano wa watu na harufu Kila mahala.

View: https://www.instagram.com/p/C09KrlYCmGo/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Swali.
Wakati Chadema mnaongoza Jiji la Dar Kuna initiative ipi mlifanya kuondoa Slums?
 
Chadema walipata Ufadhili wa Bure wa Machinery ya Kuchakata Takataka na ku recycle kuwa ktk useful materials Mwendazake akagoma kupokea mizigo.

Afrika kuna shida kubwa sana
 
Lema ameenda Canada,baada ya kurudi ndio ametambua hilo,

Sometimes unapotoka kwenye eneo lako kisha ukarudi ndio unaona vitu ambavyo haviko sawa ila ukiishi bila kutoka utaishi kimazowea na kujiaminisha kua Dunia nzima ni hivi hivi,ndio maana baada ya Lema kurudi toka Canada,kila kitu anakiona hakipo sawa,

Issue ni kwamba ameona Duniani miji yao ilivyo kwa macho yake.

#FreePalestine 🇵🇸
 
Back
Top Bottom