Dar: Mwandishi wa habari Bollen Ngetti akamatwa na Polisi, apelekwa Sitakishari

Hii nchi imekuwa ya hovyo sana..sasa hivi ni habari za kutekana,kuwana na kukamatana...Sio tajiri wala maskini wote wanaishi kwa tabu..Watu wemkuwa na roho mbaya sana wanakuuwa kana kwamba wao wataishi milele...wakitoka hapo wanasema niombeeni..
 
Eti habari za uchunguzi. Habari za uchunguzi zipi zaidi ya kuanalyse hotuba au matendo ya wengine?

Sasa kama kumbe anafanya hivyo tu kinachowauma ni nini hao wanaokamata kama sio kutaka kuleta taharuki kwa jamii??

Si anafanya kazi yake aliyoajiriwa/jiajiri nayo??
 
Huyo jamaa ni mropokaji bora akapumzike uko akitoka ajifunze

Ni vizuri pia wampeleke Mahakamani ili hoja zao zipimwe na wenye kutafsiri Sheria kuliko kukomoana na kutekana tekana au kuwekana vizuizuni wakati Sheria zipo.

Lazima tuwe na mifumo iliyostaarabika ya kuwashughulikia tunaofikiria wametukwaza kwa namna yoyote ile.
 
Mwandishi wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti, Bollen Ngetti, amekamatwa jioni hii na askari 3, na kupelekwa kituo cha Polisi Stakshari.

View attachment 1176056

Bollen anasemekana kuwa na Diploma ya Uandishi wa Habari na kuwa alikuwa Mhariri wa Gazeti la Sauti Huru
Hali si shwari kwa waandishi wa habari za kichunguzi nchini Tanzania. Mpaka ufike uchaguzi mkuu waandishi watakuwa na mengi ya kusimulia
 
Tatizo ni hii picha ya juzi
View attachment 1176211
Mbona huyo sio Bollen Ngetti? Ni Katibu wa CCK.
RCCK.jpg
 
Back
Top Bottom