Dar: Mwandishi wa habari Bollen Ngetti akamatwa na Polisi, apelekwa Sitakishari

Kuna gazeti linasema 60% ya wahitimu ni vilaza! Nahisi uko ndani ya kundi hili. Nikosoe kama unaweza lakini bila matusi, iweje graduate kama unavyojiita huwezi kuweka punctuation marks, inapostahili? Hata baada ya kukukosoa, bado unaweka alama ya kushangaa bila nafasi. Alama ya kuliza. comma ni hivyo hivyo!!
Chuo gani hicho Boss? Hiyo ni digrii au mzaha?

Jaribu kuona makosa kwenye huo uandikaji wako Boss. Hilo la jinai au hapana, kwa sasa tuliache maana tofauti yako na mimi ni Mbingu na Dunia.
Hahahahahaaaaaa,halafu tukikosoa PhD ya Magu mnakuja hapa kumtetea,hivi Magu aliwezaje kuandika thesis yake kuclaim PhD wakati ngeli yake haieleweki?
Siko hapa kukufurahisha kwa kukuandikia kiufasaha,ila ukitaka tutakosoana sana tu.
Kuhusu jinai ua hapana,ni wazi umeshindwa ligi kabla hata haijaanza!
 
Acheni upumbavu,tatizo linakuja pale ambapo jeshi la polisi linakana zaidi ya mara moja kumshikilia mtuhumiwa wa kumtusi mkewe,hata kituo walichosema wanampeleka hawakufanya hivyo na kumpeleka kwingine!
Msiwe mazuzu!
Wanasababu za kufanya hivyo,sio kila taarifa lazima uipate Mkuu,hata wewe kuna taarifa hauwezi kumpa kila mtu hata mkeo/mume.
 
Hahahahahaaaaaa,halafu tukikosoa PhD ya Magu mnakuja hapa kumtetea,hivi Magu aliwezaje kuandika thesis yake kuclaim PhD wakati ngeli yake haieleweki?
Siko hapa kukufurahisha kwa kukuandikia kiufasaha,ila ukitaka tutakosoana sana tu.
Kuhusu jinai ua hapana,ni wazi umeshindwa ligi kabla hata haijaanza!
Naomba tena kwa mara nyingine kujua Chuo ulichosoma ukapewa digrii. Chuo gani, Boss? Kuna jambo la kujifunza kutoka kwako.
 
Kama huwezi kujua chuo pekee nchini kilichokuwa kinaoffer hiyo Bsc basi!Hebu niambie,hiyo LLB wewe uliipatia wapi?
 
Sifa siyo chuo pekee, haisaidii kuwa pekee. Sema chuo chako nilinganishe na huu uelewa wako. Usidhani sifa ni za chuo, sifa ni zako wewe. Unaposhindwa kujua kuandika hata paragraph ya maana, ukajiita graduate, tunaanza kuunganisha uzembe wa mafunzo uliyopata.
 
Nafarijika kila nikilinganisha thesis ya Magu na ngeli yake!Am i the problem?Uzuri niko kwa system so naelewa!
 
Hiyo unayoita ngeli, sijui ni nini lakini, kama unazungumzia grammar hata wewe huna inayotakiwa. Ktk haya uliyoandika kwa nini ueweka 'the' the prolem?
 
Ndio maana nasema mimi na Magu hatuchekani!!!
 
Back
Top Bottom