![]()
Msafara wa mabasi karibu na Morogoro,hapa ilikuwa 1950.Ni historia yetu na ni Tanzania yetu.
Nikweli ila bila kupatwa na addiction ya jf, bila kushuhudia maamuzi ya Jetcher, bila kupata hasara za kubeti na ningegegeda bila ndom.Ungekuea ushakufa
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwaka 1950 na technology ya picha ya rangi? No
Ni Pin-hole camera mkuuhiyo camera MP ngapi? ila iko poa sana na ni kimbukumbu nzur sana
Duu mabasi kama mabox au yale kwenye katuni ya nikeledon![]()
Msafara wa mabasi karibu na Morogoro,hapa ilikuwa 1950.Ni historia yetu na ni Tanzania yetu.
EditedMwaka 1950 na technology ya picha ya rangi? No
Hata tuendako ni mbali piaTumetoka mbali...