Tengeru: Moto wateketeza nyumba na mali

Oct 17, 2019
74
61
Moto mkubwa umezuka katika Nyumba iliyopo Kitongoji cha Tengeru Sokoni Kata ya Akeri Wilaya ya Arumeru Arusha.

Moto ulianza mnamo saa 7 ya Usiku na jitihada za kuuzima moto huo zilizofanywa na Wananchi wa Eneo Hilo na baadae Fire ilipofika ziliweza kufanikiwa majira ya saa 9 usiku.

Chanzo Cha moto huo inadhaniwa kuwa umeme . Thamani ya Mali zilizo teketezwa na moto huo bado hazijajulikana zikiwemo mashine za Fundi maarufu wa viatu Damas Mbuya
 
It was matter of time! Tengeru pamekuwa pa hovyo sana. Na ajabu mbunge anaishi hapo. Watu wanauza vitu mpaka barabarani. Hakuna mpangilio wala utaratibu. Njia za kwenda kwenye mahoteli ya kitalii hufungwa kutokana na wafanyabishara. Ipo siku, watu watakufa wengi sana hapo… kutokana na uzembe na ubinafsi jijini Arusha.
 
Tengeru haiko Arusha city council, Tengeru ni Arumeru council
 
It was matter of time! Tengeru pamekuwa pa hovyo sana. Na ajabu mbunge anaishi hapo. Watu wanauza vitu mpaka barabarani. Hakuna mpangilio wala utaratibu. Njia za kwenda kwenye mahoteli ya kitalii hufungwa kutokana na wafanyabishara. Ipo siku, watu watakufa wengi sana hapo… kutokana na uzembe na ubinafsi jijini Arusha.
Acha ujinga wewe.

Lile soko ni gulio (mnada).
Lina happen two times a week.
Siku zingine 5 za week hakuna biashara.

Mbona Kariakoo njia huwa zinazibwa na biashara zinafanyika miaka nenda rudi
 
Moto mkubwa umezuka katika Nyumba iliyopo Kitongoji cha Tengeru Sokoni Kata ya Akeri Wilaya ya Arumeru Arusha.

Moto ulianza mnamo saa 7 ya Usiku na jitihada za kuuzima moto huo zilizofanywa na Wananchi wa Eneo Hilo na baadae Fire ilipofika ziliweza kufanikiwa majira ya saa 9 usiku.

Chanzo Cha moto huo inadhaniwa kuwa umeme . Thamani ya Mali zilizo teketezwa na moto huo bado hazijajulikana zikiwemo mashine za Fundi maarufu wa viatu Damas Mbuya
Eneo la soko la tengeru ni dogo sana, watu wanauza vitu mpaka barabarani kabsa. Ranges za watalii zinazoenda kwenye hotel za serena mountain na ile ya lake duluti wanapata tabu mno siku za soko.
 
It was matter of time! Tengeru pamekuwa pa hovyo sana. Na ajabu mbunge anaishi hapo. Watu wanauza vitu mpaka barabarani. Hakuna mpangilio wala utaratibu. Njia za kwenda kwenye mahoteli ya kitalii hufungwa kutokana na wafanyabishara. Ipo siku, watu watakufa wengi sana hapo… kutokana na uzembe na ubinafsi jijini Arusha.
Subiri sana
Na hio ndio style yetu
Kama wawekezaji wanafurahia adventure jumatano na jumamosi na hakuna alielalamika wakielekea duluti
Utalii popote

Vunga
Chuga hiooooo
Chuga hiooooo
 
Acha ujinga wewe.

Lile soko ni gulio (mnada).
Lina happen two times a week.
Siku zingine 5 za week hakuna biashara.

Mbona Kariakoo njia huwa zinazibwa na biashara zinafanyika miaka nenda rudi
Kakurupuka yule hana anachokijua kuhusu tengeru
 
Eneo la soko la tengeru ni dogo sana, watu wanauza vitu mpaka barabarani kabsa. Ranges za watalii zinazoenda kwenye hotel za serena mountain na ile ya lake duluti wanapata tabu mno siku za soko.
Nani kasema?
Mbona na wazingu huomba kusimamishwa hapo japo wapate kapicha ka Mama Ngakisalii akiwa na Nguuku
 
Back
Top Bottom