DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

Kama unaishi kama malaika kwa jasho ulilolihangaikia kuna shida gani!? Wewe maskini usiejituma umefaidika nini na ubomoaji huu!?
Unajua tunaishi na watu wapumbavu sana humu duniani, mpaka mtu unaishia kukiri kweli Mungu ni mwema!
 
Hivi kwanini mnapenda kuongea hovyo hovyo!?
 
Prof J pole sana 121 meters have implicated many na kuleta maumivu sana kwa wadau wengi walio ktk mkondo wa morogoro road kwa kweli inauma sana dogo kuanza maisha kufikiria kujenga mjengo mwingine.
 
Nyumba yoyote iliyojengwa kwa kuwa na kibali cha serikali (iwe ni serikali ya Jiji au wizara ya Ardhi) ni nyumba halali ambayo ikivunjwa kwa ajili ya miradi yoyote ya serikali (kama barabara) ni lazima ilipwe fidia. Nyumba ambazo hazilipiwi fidia ni zile ambazo zilijengwa bila kibali cha serikali.
 
Nyumba yoyote iliyojengwa kwenye hifadhi ya barabara lazima ibomolewe regardless kuwa ilikuwa na kibali cha serikali au la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…