Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Umegonga mule mule.. Hawa walikuwa wanagombea baamedi pale.. Huyu Alex alikuwa anapiga piga ngozi.. Sasa tabia yake ya ukorofi na show off yule baamedi akawa anamkataa hivi.. Jamaa nae kulazimisha penzi Kwa demu na bili akawa halipi kisa demu hamtaki...

Hata siku ya tukio baamedi alikuwa anamlalamikia sana mshikaji hadi Kwa meneja ndio akaomba msamaha vyombo vikaendelea... Kinyongo Sasa akaitoa Tena.. Demu anaogopa Kwa wengi akaenda kujibanza Kwa gift.. Gift akavimba demu wake asizinguliwe.. Maana ndio anapiga ngozi baada ya Alex kutemwa Kwa ulimbukeni wake wa chuma... Shits get ugly.. Dogo akajitutumua kiume kumkabila Alex ili asionekane mnyonge.. And that was the mistake..

Ndio yakafikia hapo yalipoishia..
Jitihada zake zote za kumshawishi baamedi amkubali ziligonga ukuta akachanganyikiwa akawa anatembea na bastola, alikuwa zaidi ya boya huyu tahira
 
Afu mbona kama we ndio umepanic sana kifupi huyo jamaa yenu Alex alikuwa fala tu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huyu jamaa hataki kabisa kusikia hiki kitu..

Huyu bwamdogo wa kuitwa Alex kwanza kabisa hakua mjanja kivile.. sema tu ni wale watoto waliokulia kwenye familia ambazo kidogo zilikua above average (sio matajiri). Hii inawezekana ilimfanya aonekane "mjanja" kwa watoto wa njoro na majengo kwa mtei huko, ila generally mjini hakuwa anafahamika.

Pili hakua maarufu kama jamaa mmoja anavyoiweka hapa. Baba yake mzee James Oraa ndio alikua maarufu miaka ya 90 mpaka 2000 ila akaja kupotea kwenye ramani. Ukimtaja James Oraa hapa Moshi kidogo watu wa enzi hizo watamkumbuka, ila ukimtaja Alex leo hii moshi hakuna anaemjua. Bora kaka yake na yule mdogo wao ndio walikua wanafahamika.

Tatu, hakua na hela za maana. Inawezekana kabisa kutokana na background yake alikua na vimichongo vya hapa na pale ila hela kama hela hakua nayo. Ni dogo aliekua anapenda sifa na kujikweza, kiasi kwamba akiwa na hela kidogo basi unaweza dhani ni don flani kumbe sio hivyo, japo hakua choka mbaya.
 
Nami pia ndo napata chochote angalau.sijui nani atakua mkweli maana sijasikia hiki toka kwa mashuhuda wote waliohojiwa!!!
Inawezekana wanajaribu kumlinda huyo barmaid asijepelekwa kusaidia polisi. Ila lazima iko namna sio rahisi ugomvi kuanza hadi kuua bila chanzo cha msingi.
 
Ila moshi kwa kuharibu majina ya watu eti james oraaa. Hiyo oraa kirefu chake ni nn? Ndo mambo ya akina gire, janee, ombeee babuuu yaani.. shida iko wapi kwani
Mzee James Oraaa ana busara Sana Jana jioni naambiwa alienda Mweka kwa kina Gift na kuhaidi kusafirisha misiba yote miwili
 
Mzee James Oraaa ana busara Sana Jana jioni naambiwa alienda Mweka kwa kina Gift na kuhaidi kusafirisha misiba yote miwili
Kumbe bado yuko? Maskini. Nimepita insta kwa joyce kiria hata najuta. Nimeliajee nimepata hurumaa mamake gift analiaaa. Gift anaonekana mdogo jaman maana mamake bado kijana kbs. Analia kwa uchunguu.. daah. Wapumzike kwa amani...
 
Kumbe bado yuko? Maskini. Nimepita insta kwa joyce kiria hata najuta. Nimeliajee nimepata hurumaa mamake gift analiaaa. Gift anaonekana mdogo jaman maana mamake bado kijana kbs. Analia kwa uchunguu.. daah. Wapumzike kwa amani...
Yule ni mama mlezi, ma gift ni Marehemu
 
Hivi huyu James oraa si ndio mkewe mkubwa na watoto walifia ndani kwa ajali ya moto?
ndio huyo huyo!alieliwa baada y kufumaniwa na mkewe na mwenye mke aliekuwa nae!
akapigwa dushelele huku mke wake akisapoti jamaa wamfiree vzr!

mwisho wa siku mke akamwambia huwez kulala kitanda moja na mimi maana ntakuwa km nimelala na ke mwenzzangu
 
Asante sana mkuu kwa kuliweka kisomi. Hivi Masai bado upo,? Very sad and sorry for him.
Yaan mlevi huwa ni unsounded mind kabisa. Ndo maana anapuuzwa. Badala ya kupondana nimeona nichukue somo kupitia hili jambo. Kama gift alikua anaenda kumnyang'anya jamaa bomba yake ilikua makosa makubwa sana. Na ni kweli kabisa hata mahakamani alex angeshinda tupunguze mihemko. Bastola amelipia yeye, wewe unataka mnyang'anya ya nini? Ni kosa kubwa sana alifanya na hasa ukizingatia tayari wote wako bwi. Pale ni akili za pombe wote. Huyu mkorofi na huyu hataki dharau. Lazima iwepo hatari..
Na najiuliza kama mpk alex alishaomba msamaha akairudisha akatulia kbs ilikuahe aitoe tena? That means kuna story haijasemwa hapa wanamcover ndugu yetu gift.

Aiseee, kwanini ulieezaje kwenda bar na mzigo mkubwa hivyo? Huogopi? Mimi nikiwa chuo kuna siku mamangu alinipa mil 5 nipeleke bank. Jamani alikua ananipa wosia kama ndo anaenda kufa hivyo. Basi mkaidi kwani nilienda? Nikaenda chuo halaf kigamboni kwa babe. Nikachelewa kutoka. Nimevuka hamna usafiri.. hiyo distance ya hapo ferry mpaka IFM unaielewa jinsi ilivyokua na matukio ya uporaji. Na mpk kulikuaga na noah nyeupe huwezi amini, wanachuo walikua wanaburizwa balaa. Unajua nilifanyaje? Nilijaza mawe kwenye begi na mengine nikaweka mfukoni halaf nikazuga kama nimeweka mikono mfukoni. Kumbe nasubiria mtu anisogelee aone moto wa mawe na natembea mbali mbali. Kidogo namwona jamaa wa 3rd year naye anarudi nikajisikia amani. Sasa pata picha wewe umeenda kbs club na unajuaga kikinuka inavyokua.

Mlevi hanaga akili siku zote na hakubali kushindwa. Anayekubali kushindwa ni yule hana hela ananyweshwa na boss. Unatumikia sijui punda uunge wajihi. Gift hakutaka dharau.

Aisee, kwa sisi ambao tuna hasira tusimiliki bastola. Sikuwahi jua kama ni mzigo hivi. Nawaona watu wanamiliki najua its easy. Na nikiwazaga watoto anaweza chukua akijua ni toy anaenda lipua wenzake. Kuna siku dogo home hapa wenzake walimchokoza huko nje. Alikuja akakaa keenye kochi anatafakari halaf nikaskia anamwambia dada, baba akija nitamwambia akaninunulie bastola niwaue akina prince wote. It shockes me.
Na mimi aunt yake kuna jamaa mmoja hv mpuuzi halaf huwa ni kibaka. Hiyo siku akanifanyia fujo kwa mambo hata hayamuhusu alipata tender ya ujenzi. Nilichomwambia we niguse tu moto wake utaujua baadae. Hapo alikua keshakula mabangi yake yuko moto. Akanitishia sana. Mm wala sisogei nikamwambia niguse hata kwa ukucha tu. Hakuthubutu tena. Watu wamejaa tele. Nikiwa naondoka nikamwambia kumbe bangi yako ina akili sana haijathubutu kunigusa. Hadi mishipa ilikua imemsimama. Nikasepa. Kutoka pale nikamcheck mzee, nikamwambia ule mpango wa kibomba uendelee tafadhali. Mzee akacheka sana. Akanambia sawa. Na nikaanza kuapa kwakua ni kibaka na ana mbio sana atanikuta siku na kibomba napiga either ya tako ama migoo asiee anaiba na kukimbia tena. Ni kama kiapo nilikula. That means kweli ningeipata maybe ningetimiza. Ubaya nina hasira za karibu sana. Maybe ni hivyo siwezagi react hivi kwa upana. And maybe pia ni kwasababu sina hiyo silaha. So nadhani kuna umuhimu wa kujihoji binafsi. Je, mimi ninazo sifa zote za kumiliki silaha? Je. Haitonigharim mimi na watu wengine ambao hawana hatia? Yaan mtu ujihoji vya kutosha. Kwa mimi Hapana. Acha nilinde uhai wa wengine na wangu. Kujiua bado kabisa.
Hivi huo ugonjwa wenu wa short temper unaweza kupona
 
Kile tunachoangalia na kusikiliza I.e movies, music vina impact katika Maisha either positive au negative, kiroho shetani anatumia sana celebrities ambao wameuza nafsi zao kwake kupush agenda zake duniani, kwenye gun violence kuna relation na Hollywood, Alex alikua ni mpenzi wa movie, hakua na habari na Ving’amuzi yeye ni Netflix, kuna roho zinapandwa kwenye hizi movies tunazoangalia hasa ukiwa addicted.
 
Back
Top Bottom