Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

๐€๐ฅ๐ž๐ฑ ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐š๐ข๐ฌ๐ž๐ž

๐š๐œ๐œ๐จ๐ฎ๐ง๐ญ ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฒ๐š ๐ข๐ง๐ฌ๐ญ๐š ๐ข๐ฆ๐ž๐ฃ๐š๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ณ๐š ๐›๐š๐ญ๐š ๐›๐š๐ญ๐š๐ง๐ข. ๐๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ฆ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ฎ๐ฅ๐š๐ฒ๐š

๐ซ๐ข๐ฉ ๐›๐ซ๐จ

View attachment 1860039
Kwa hiyo wewe mtu akienda ulaya tu basi ana pesa? Au mtu akionesha picha insta yupo ulaya basi ana pesa? Acha utopolo
 
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy

Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.

"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.

"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."

"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.

Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.

Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.

Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"

Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.

Credit:Mwananchi
wachagga wameuana.
 
Wanaume wa Sinza!mnaishia kuangalia midevu tu,kulewa huku hamna pakee aka pesa mbongo,ndo mana mnazibuliwa tu.
Huyo mshamba muuaji enzi zetu tungekua tushamkalisha ground huku miguu tumevunja na bastola yake hiyohiyo.
Enzi hizo watu wanatoka na machine gun na AK 47,mnavamia mahali mnalamba chenu mnatimka.
Kauli mbiu usimuatack mtu yeyote mpk akubugudhi,
Kuua ilikua last decision,kwamba nisipomuwahi nakufa mimi.
Sasa hilo fala eti linaenda bar kulewa linaanza kufyatua risasi ovyoovyo juu mara linakumbushwa linamshoot anayekumbusha.
Hilo ni li chizi Tena limbukeni maiti Yake ichapwe bakora na kuburuzwa nyuma ya Gari .

Jinga kabisa.
 
Mzee

Alex was ahead of his time mkuu

Yeye ndio wa kwanza kutambulisha hiphop za America darasani primary

Yeye ndio wa kwanza kuja na video cassete ya movie ya Juice 1992,yeye ndio wa kwanza kuja na kanda za cassette za marapper wote wa America darasani,ananunua mwenyewe Moshi mjini,hizi zote anakuja nazo darasani primary school,shit was crazy

Yeye ndio wa kwanza kuanza kuongea Kingereza cha America

Nadhani pair za kwanza za viatu vya Land Rovers yeye ndio wa kwanza kuvaa,alivipata kutoka Kenya kupitia boda ya Rombo

Wakati Nokia za 3310 ndio zinaingia yeye ana 3330,darasani,primary

Nigga was ahead
Yote haya ya kawaida kwa mtu aliyependa "umarekani" kipindi hicho...what is ahead of time inamaanisha kwako? Kutizama filamu za juice na above the rim ama kupata magazeti ya word up?...niga please
 
Asilimia kubwa ya matukio ya kutumia silaha
Kwenye sehemu za pombe,uhai wa binadam
Kupotea ni kubwa sana

Ova
Chuga mambo ya kula tungi huku mikwaju ikiwa imesambaa juu ya Meza kama smartphone ni kawaida sana.. Ila matukio ya kufumuana ubongo sio mengi ki vile..

Chuga ndio Kuna show off za hovyo sana za silaha ila madhara yake ni machache.
 
Hii bast
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy

Mashuhuda wamesema siku ya tukio Korosso alifika kwenye baa hiyo aliyezoea kunywa akiwatisha wenzake na kwamba anatamani kuua mtu.

"Gift Mushi alipigwa risasi moja ya mguu, mbili za tumboni baada ya kumuona anaendelea kuangaika chini alienda kummalizia kwa kumpiga risasi tatu kichwani na baadaye kurudi kwenye kiti alichokaa kujimalizia mwenyewe kwa kujipiga risasi moja kichwani," amesema Karim Hussen.

"Alikuja toka asubuhi akiwa na gari yake ambayo alimpa ufunguo aitengeneze huku mwenyewe akiwa anaendelea kunywa na kuwatisha wenzake muda wote na baadae Gift Mushi ambaye ni marehemu akamfuata kumshauri aache kuwatisha wenzake wakati wakinywa."

"Baadaye kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa naye silijui jina lake akamuambia kwamba kuwa yeye ni usalama wa taifa na kumuonesha kitambulisho baadae alitulia na kuanza kuomba msamaha, alikaa kimya kwa muda akawa anajishauri ghafla alitoka kwenye kiti alichokaa na kwenda hadi kwa DJ kumuambia azime muziki nako alikataliwa" amesema Lema.

Lema amesema "Kossoro baada ya kukataliwa kuzima muziki alianza kuongea kwa sauti kubwa na kusema watu katika baa wanajifanya usalama na kuchomoa bunduki yake kuanza kupiga risasi juu baadae Gift Mushi alipomfuata kumshauri alipigwa risasi ya mguu kabla ya hajakaa sawa alipigwa risasi mbili za tumboni na akuanguka chini na watu wengine walikuwa wanakunywa walianza kukimbia," amesema.

Amesema wakati huo Gift Mushi alikuwa chini anahangaika baadae alimfuata tena kumpiga risasi tatu kumalizia kumuua na baadae alitoka nje ya baa na kwenda kwenye gari yake kufungua mlango alikuta umefungwa.

Husseni anaeleza "baada ya kuona mlango haufunguki alirudi tena kwenye baa na kukaa kwenye siti yake kisha kujipiga risasi ya kichwa na baadae sisi tulijitokeza,"

Husseni amesema siku hiyo Gift Mushi hakulewa isipokuwa Alex Korosso alikuwa amekuwa na tabia ya kuwatisha watu kwenye baa hii toka miezi miwili alipoanza kumiliki silaha hiyo yenye magazini 16," amesema.

Credit:Mwananchi
Hii bastola yenye magazine 16 naihitaji
 
Yote haya ya kawaida kwa mtu aliyependa "umarekani" kipindi hicho...what is ahead of time inamaanisha kwako? Kutizama filamu za juice na above the rim ama kupata magazeti ya word up?...niga please
Haha , umenikumbusha mbali, tulikuwa tunashobokea vitu vya kijinga vya wamarekani...yani mwana akija kijiweni na gazeti la the source au word up anaonekana kama mfalme
 
Mkuu nimecheka sana...it was part of growing up yaani gazeti likiingia mtaani litazunguka kwa wote hadi lifubae...
 
Wewe ni failure

Mwaka 1994 wewe ulikua wapi na ulikua na miaka mingapi?

Moshi ulikua unaijua miaka hiyo?Huijui

Alex alikua na miaka 10,ametuletea album ya Nas Illmatic iliyotoka April mwaka huo

Get your head straight,he was 10 years old!

Alex alikua ana magazeti ya porn yanayotoka America,mapya,anakoyatoa no one knows!

He was goddamn barely 11 years in 1996!

All the NBA Action video cassettes alikua anazileta,anakozitoa no one knows!

Hivi unajua utotoni wewe?These were great experiences....The lil nigga was God in Moshi

He was 11years old wewe maiti

Wewe ukiwa 11 years old ulikua unatoka makamasi mengi kiasi gani?Stop this nonsense

Sisi ndio tulikua nae,we know how legendary this kid was!

Hakuna kitu cha utotoni utakisema aache kua nacho au akilete kesho yake,never!
Wamarekani wa tz mna shida sana...yote hayo unayotaja ni ulimbukeni tupu..ati "alikuwa wa kwanza kuongea kingereza cha kimarekani" hivi una akili wewe, unajiskia unachosema? You are talking about 1994? Yaani before 94 hakukuwa na hiphop na hatukupata albums wala magazine zake? I guess hujui hata kama word up magazine ndo the oldest wewe unataja the source ukijua umeua tutashtuka. Moshi moshi kwa hiyo tz nzima ilimtegemea huyo dogo kupata albums za hip hop na magazeti?
 
Hayo mambo yapo jamani muelewe,kuna visa mi huwa moja kwa moja navihusisha na yaliyonitokea. Siku mitaa ya Obay kuna kontena tulikua tunakunywa then tunaingia mzigoni mpk sa nane tisa hivi na boss aliruhusu,kwahiyo wewe tu ila usilewe ukashindwa kazi.

Mara nyingi tukawa unaweza bill unalipa mwisho hawajafunga. Huyu dada muuza bar kaja kunistua nafunga,
Nikamwambia nakuja kuclear kaondoka.

Muda naenda kumbe kuna lichangu moja hivi yale ya barabarani pale w bar limetoka kukojoa sina hata habari nalo nalo linatoka liko mbele mimi nyuma.

Mi naenda kulipa bill nafika kaunta yule demumuuzaji yupo ndani nikawa namuita. Huyu jamaa nimemkuta pale,bouncer flani hivi anakunywa tuskeryake mara kuona nafika pale na changudoa wake anafika kajua nimetoka kumtomba.

E bana sijakaa vizuri huyo kanivaa oyaa umetokakumtomba mke wangu? Mi nikajibu kwa dharau tu nani atombe **** chafu hiyo
Dah jamaa kanivaa mzima mzima tukachapana alipoona siendeki kindezi si akapasua ile bia kaja kani atack tumboni akanichana chana.midamu hiyo.

Pale sasa yule binti muuza kakimbia kazini kuwaambia Mwenzenu anauliwa huku. Timu nzima likaja jamaa kakimbia tumemsaka tinga tinga yoote hajaonekana.

Nikapelekwa hospitali pigwa nyuzi week mbili off poa tu. Nikarudi mzigo kiupole,

Kwa ujumla huyo changu msingida kwanza aliliwa vizuri tu na akatoa info zote huyo jamaa anapatikana wapi,
Tulimdaka hapo amerikan chips na alichokipata anakijua.

Hayupo.

Bibi yake sijui km anaendelea na biashara kuuza papuchi au kaacha
mlikuwa mmelewa wote?
 
Mkuu

Novels ilikua part muhimu sana ya jamaa....hakuna novel hana...na alikua anaazimisha hana uchoyo

Hakuna kanda yeyote ya mwanamuziki/rapper yeyote ukitaka aache kukuletea

Sio movie,sio games,sio magazines.....wapenda bata kampani ya jamaa ilikua legendary

Na mafujo alikua hana,watu wamemiss interpreat hii misfortune iliyotokea

Na kumbuka kipindi hicho ni 1990's jamaa alikua just 14 years child

Just imagine.....hakuna connection unayoitaka Alex ashindwe kuku-link,na alikua mtoto kipindi hicho

Na ukubwani nasikia hadi mawaziri alikua anawajua baadhi yao in a friendship level

Dude was legendary

Ana uwezo wa ajabu sana ku-network na people,crazy ability....

Najua yote haya unayajua....imetokea bahati mbaya tu this happened
alikuwa anaendesha gari gani?
 
Wamarekani wa tz mna shida sana...yote hayo unayotaja ni ulimbukeni tupu..ati "alikuwa wa kwanza kuongea kingereza cha kimarekani" hivi una akili wewe, unajiskia unachosema? You are talking about 1994? Yaani before 94 hakukuwa na hiphop na hatukupata albums wala magazine zake? I guess hujui hata kama word up magazine ndo the oldest wewe unataja the source ukijua umeua tutashtuka. Moshi moshi kwa hiyo tz nzima ilimtegemea huyo dogo kupata albums za hip hop na magazeti?
mzee inaonekana unasikiliza Hip Hop kutoka kitambo sana
 
Wewe ni failure

Mwaka 1994 wewe ulikua wapi na ulikua na miaka mingapi?

Moshi ulikua unaijua miaka hiyo?Huijui

Alex alikua na miaka 10,ametuletea album ya Nas Illmatic iliyotoka April mwaka huo

Get your head straight,he was 10 years old!

Alex alikua ana magazeti ya porn yanayotoka America,mapya,anakoyatoa no one knows!

He was goddamn barely 11 years in 1996!

All the NBA Action video cassettes alikua anazileta,anakozitoa no one knows!

Hivi unajua utotoni wewe?These were great experiences....The lil nigga was God in Moshi

He was 11years old wewe maiti

Wewe ukiwa 11 years old ulikua unatoka makamasi mengi kiasi gani?Stop this nonsense

Sisi ndio tulikua nae,we know how legendary this kid was!

Hakuna kitu cha utotoni utakisema aache kua nacho au akilete kesho yake,never!
kama alimiliki album ya Nas kwa umri na mwaka uliotaja basi kweli alikuwa ana exposure
 
Back
Top Bottom