Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Heshima kwake hadi natamani kuwa mfanyakazi wa dar
 
Huyu jamaa ni mbunifu sana, kwa hili nampa pongezi. Ametambua masahibu ya wafanyakazi wa umma wa ngazi za chini. Ulanguzi wa bei unaofanywa na halmashauri nyingi nchini umechangia kukua kwa makazi holela, hasa mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya. Uamuzi huu utapunguza makazi holela kwa kiasi kikubwa.

Wakuu wa Mikoa mingine waige jambo hili. Ni jambo jema kabisa. Wawe wabunifu, gharama za upimaji viwanja hazipaswi kuwa kisingizio cha kuuza viwanja bei kubwa wakati wanafunzi wa chuo cha Ardhi wapo na wanafanya field training kila mwaka. Tumieni hao cheap labor kwa usimamizi na wataalam wazoefu wachache.
 
Natamani sana kuona team work na watumishi wenzake.
Kufanya kazi kama team hakutamuondolea credit ambazo angepata na kazi zingeonekana
 
PAUL MAKONDA ANAFAA KUWA MKUU WA WAKUU WA MIKOA WOTE TANZANIA PAMOJA NA KUWA MKUU WA MSIMAMIZI WA MAWAZIRI WOTE TANZANIA.
Mbona cheo chake hata VP hatii pua yake mkuu[emoji28][emoji28]
 
Mtanuna kama watoto wa kike ,,,mtavimba mpaka mpasuke ,,,huyo ndio makonda boy mtaalamu wa kuwanyoosha kimaendeleo

Hiki ulichosema ni mipasho ya kike maana wanaume wa kweli hawana misemo hii. Kutangaza jukwaani ni jambo moja, ili ukija kwenye uhalisia wa utekekezaji ni ngumu. Mfano Makonda alitangaza waalimu wa dada kusafiri bure, ushangiliaji ukawa mkubwa sana. Je unaweza ukaniambia utekelezaji wake? Usafi wa jiji umeishia wapi?

Je mna taarifa yoyote ya afya ya Lissu mpaka sasa?
 
Nampenda Makonda huyu jamaa ni mbunifu. Ni halali kuiongoza Dar anatumia akili sana.
 
Watu wananyang'anywa mashamba wengine wanayasalimisha kwa bashite ili mradi wasiporwe na JPM, watu wanashangilia Bravo makonda!!!
 
Back
Top Bottom