General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Kwani wewe mwalimu? Ikusaidie nini (tu.S.i reserved)Je zowezi la waalimu kupanda mabasi bure kimefikia wapi?
Kwani wewe mwalimu? Ikusaidie nini (tu.S.i reserved)Je zowezi la waalimu kupanda mabasi bure kimefikia wapi?
Mpka sasa we ushapewa vingapiPole ndugu ngoja walio chini ya makonda wafaidi pia mikoani RC wawatafutie viwanja mbona vipo vingi?
Hilo mwachie mungu, afadhali wewe huna tatizo hilo lakini usimcheke mwenzio mpendwaHakuna jambo ambalo bashite amelianzisha likafanikiwa. Namshauri kabla ya kutafuta kiki kwa watumishi ashughulikie tatizo lake la ugumba.
Usiwe zuzu na mwepesi wa kujibu, ardhi ni kitu limited. Ukiireserve kwa watu wa kada fulani maana yake wananchi wengine wanakosa haki yao. Dar es salaam hawakai watumishi wa umma peke yake, na hata huko mikoani ikifanyika hivyo bado si sawaPole ndugu ngoja walio chini ya makonda wafaidi pia mikoani RC wawatafutie viwanja mbona vipo vingi?
Wewe usiyeelewa chochote nenda kanunue hujakatazwa labda nikueleweshe kidogo tu ni kwamba hao watumishi walio chini ya makonda watanunua kwa punguzo ila wengine mtanunua kama kawaida kwa bei ya tsh 15,000/= kwa sq.meter wakati wa mhe. Makonda watanunua kwa tsh 4,000/=Usiwe zuzu na mwepesi wa kujibu, ardhi ni kitu limited. Ukiireserve kwa watu wa kada fulani maana yake wananchi wengine wanakosa haki yao. Dar es salaam hawakai watumishi wa umma peke yake, na hata huko mikoani ikifanyika hivyo bado si sawa
Natarajia kuchukua kwa mgongo wa kaka yanguMpka sasa we ushapewa vingapi
Ova
pamoja na pongezi aoneshe na cheti sasaMwaka 2014 mkoa ninaofanya kazi watumishi tuligawiwa viwanja. Square meter kwa 2000 tu na nilipata SM 1200 ambayo ni Tsh. 2,4000,000 na tuliambiwa tulipie nusu gharama tu na nusu ya pili tulilipiwa na serikali. Na hiyo nusu ilikuwa inalipwa taratibu kadili unavyopata.
So, mkuu hizi privilages mikoani zipo na tena Dar zilichelewa. Tumpongeze tu kwa hili.
huyo hapo kwenye avatar ndio mimiUnaonekana umechukia kwa hili suala kama ilivyo Avatar yako. Pole sana.
dar gharama ya Kiwanja ipo juu sana na havipatkan kwa urahisi! mikoa mingine mfano: singida, square meter moja ni sh.2500, kwa hyo tayar bei zao zipo chini haihitaj kulunguziwa tena! haya hvyo wakuu wa mikoa huko wanaeza iga huu ubunifu wa mh.MakondaHii nchi kweli inaendeshwa kinyume na maumbile kwa hiyo watumishi wa mikoa mingine ndo basi yaani huu utawala cjui shetani ndo Mshauri mkuu! Yaani baba unatangaza neema kwa baadhi ya watoto kisha unajisifu pathetic!
asantePole kwa roho mbaya uliyonayo,utakufa kabla ya wakati
Hahaaa!! Akitoe wapi mkuu? Ila naona kampeni ya cheti imempunguza makali maana alipenda sifa sana.pamoja na pongezi aoneshe na cheti sasa
Inaweza kuwa wewe ndio una shida. Makonda hana jipyaKwani akifanya yeye unawashwa nin?
Yeye viwanja ana mamlaka navyo?
Tuanzie hapo tu..
Elimu elimu elimu.....