Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Makonda alishawahi
Kuanzisha jambo lipi likatimia? Naona maigizo yanaendelea kuanzia daladala bure kwa walimu, mashoga, madawa ya kulevya nk
 
Hii nchi kweli inaendeshwa kinyume na maumbile kwa hiyo watumishi wa mikoa mingine ndo basi yaani huu utawala cjui shetani ndo Mshauri mkuu! Yaani baba unatangaza neema kwa baadhi ya watoto kisha unajisifu pathetic!
Duu hi ni hatari nchi kuendeshwa kiny me na maumbile?
 
Nchi kama nchi iwe inajijita kufanya research za kutosha kuhusu impact ya maamuzi kama hiyo ili kuwepo na uniformity kwani tunajenga nchi mbaweza kushangilia kwa maamuzi kama hayo ila ukiyaweka kwenye mizania ya matokeo ya research yakawa na negative effects generally wasomi saidieni hii nchi kwa maamuzi ya kufurahisha wanyonge huku matokeo yakiwa siyo.

Ikumbukwe kuwa mkuu wa mkoa hayapo kwa ajili ya wafanyakazi tu .kuna mmoja kasema kuna watawala wana Wanashauriwa na shetani Makonda anafanya mka wake kama nchi yake ndani ya nchi .hatuwezi ku favour baadhi ya makundi ndani ya kundi moja la watanzania.wafanyakazi tayari ni preveredged group ndani ya group la watanzania . Haya mambo ndo Nyerere alisema watu wanashauriwa na wake zao then wanatuletea sisi .

Lazima nchi iwe na misingi inayoeleweka. Ndo maana kuna bunge. Mi Sina mengi ila ukistaajabu ya Musa utaona ya ze liquid
 
Back
Top Bottom