Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,876
- 29,057
Waziri wa ardhi
Ngoja nikawahi kigamboni
Ngoja nikawahi kigamboni
Hahahahaha hamna hoja siku hiziYeye viwanja ana mamlaka navyo?
Tuanzie hapo tu..
Elimu elimu elimu.....
Ma RC wengine wajipime waige utendaji kazi wa makonda mbona easy tuwatumishi wa mikoa mingine wao hawahitaji kujenga? kiki tu hizo hamna lolote
Unanishtua sana mkuu hivi hatuko naye tena ? Huyu jamaa (Ben) asee so sad.R. I. P. Ben Saanane, get well TL. Yana mwisho haya by KULI
Viwanja ni kwa sisi watumishi wa umma hapa Dar tu, Wewe ni mtumishi wa chama ujueHahahahaha hamna hoja siku hizi
Hapa kazi tu
Huyo ndo makonda sasa.acha tukajipatie viwanja utasubir sana
Makonda ataua watu kwa presha maana si kwa spidi hii ya super sonic.Habari mbaya sana hii ufipani
Huyo ndo paul makonda
Na hapa Ni kazi tu
Mtaelewa tu.
Kwani na wao si wana wakuu wao wa mikoa!!watumishi wa mikoa mingine wao hawahitaji kujenga? kiki tu hizo hamna lolote
Safi kabisa mtumishi ..viwanja ni kwa ajili yako mtumish..na haya ndio maendeleo..uwe mtumish wa chama chochote upewe kiwanja ndugu zangu maendeleo hayana chama (in magu voice)Viwanja ni kwa sisi watumishi wa umma hapa Dar tu, Wewe ni mtumishi wa chama ujue
Sorry buddyUnanishtua sana mkuu hivi hatuko naye tena ? Huyu jamaa (Ben) asee so sad.
Back to topic Makonda anatafuta sifa za kijinga hao watumishi mishahara imebaki ⅓ watajengaje ? Nonsense