nygax
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,367
- 865
Acha wivu, kihoro kitakutesa!WAziri hayupo
Acha wivu, kihoro kitakutesa!WAziri hayupo
Pole kwa roho mbaya uliyonayo,utakufa kabla ya wakatiwatumishi wa mikoa mingine wao hawahitaji kujenga? kiki tu hizo hamna lolote
Usishikiwe akili,au hujasoma kuwa ameongea na kukubaliana na wamilikiYeye viwanja ana mamlaka navyo?
Tuanzie hapo tu..
Elimu elimu elimu.....
Tufute mawazir wabaki Ma-RC [HASHTAG]#Muingiliano[/HASHTAG] wa mamlaka.Kwani akifanya yeye unawashwa nin?
Usipende bure huwa ni ghali mno.anahangaika tu nilidhani wanatoa bure kumbe mkopo.
Hahahahahahahahahahahahaha..PAUL MAKONDA ANAFAA KUWA MKUU WA WAKUU WA MIKOA WOTE TANZANIA PAMOJA NA KUWA MKUU WA MSIMAMIZI WA MAWAZIRI WOTE TANZANIA.
Huu mwaka mtatapika hadi nyongoo ila makonda anawaonyesha anaubunifu kuliko midomo yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shark , Matumizi ndio hayo manji na sumaye wanapokonywa Bashite zinapata Kiki
Mtanuna kama watoto wa kike ,,,mtavimba mpaka mpasuke ,,,huyo ndio makonda boy mtaalamu wa kuwanyoosha kimaendeleoHiyo kwetu ni kick kama kick nyingine na ni sehemu ya kujikosha na kujipendekeza ili aonekane ni mtu safi wakati ukweli uko wazi. Kama kweli ni hivyo kwanini mambo hayo yasifanyike kwa watumishi wa umma nchi nzima? Iweje yeye tu aweze kufanya hivyo wakati serekali ni moja?