GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
I have goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
It is now very possible....everyday, everytime....today& tomorrow, Arusha vijana wanathubutu kwenda vituo vya polisi wanasema hizi ni rasharasha na bado Mvua kamili mpaka wapate wanachokipata....face to face to police eyes

They are more than just being serious
 
I have goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!

Mkenya hapa, nimebaki kushangaa shangaa tu, kweli usimpuuze yeyote dunia hii, yaani siamini hawa ni Wabongo.... Siku zote niliwaona kama watu waoga waoga tu.
Muhimu sana mama Samia akafanya kikao cha dharula na viongozi wa upinzani watafute suluhu la haraka maana wananchi wakianza kutoana uwoga na kuongezeka barabarani hapo ndio huwa balaa la kutokua na reverse gear.
 
Mkuu,

Mimi bado sijawa impressed mpaka wamtoe Samia.

Kama hawajamtoa Samia watakuwa wametoa statement kubwa, wameenda pale ambapo hawajawahi kwenda, lakini hiyo haitamaanisha kuwa wamefanya kitu cha kubadilisha nchi cha msingi.

Kwa sababu fujo zote hizi wanavyofanya na kujirekodi kesho wanaweza kushitakiwa na hizi video zikatumika kama ushahidi kuwa walifanya looting.

Kama wale Wamarekani wa January 06 2021 waliovamia Congress.

Wakati Samia akiwa rais bado.

So. Mpango wa kumtoa Samia unaendaje?

Kama hakuna mpango wa kumtoa Samia bado mnacheza makida makida tu.
Hakuna neno mkuu acha TUONE mwisho
 
Back
Top Bottom