GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
I’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Unajua sometimes mambo huwa yanabadilika na hakuna mtu mbaya kama yule kila jambo lolote unalomwambia au mfanyia liwe baya au zuri yeye analichukua kama lilivyo na huoni aki react, ila itafika mahala anashindwa kuvumilia vile ambayo unazidi kumtendea na ndio hapo ubaya wake wazidi kuonekaa.

world peace through inner peace 🌹
 
Screenshot_20251029_164200_Instagram.jpg
 
Tume ya uchaguzi wanasemaje? Mpaka dakika hii hawajaanza kutoa updates, au bado wanazipika 😆😆😆
 
Tume ya uchaguzi wanasemaje? Mpaka dakika hii hawajaanza kutoa updates, au bado wanazipika 😆😆😆
Inawezekana wanasoma upepo ili wachague upande gani.

A)Waseme uchaguzi haukukizi vigezo kwahiyo urudiwe kama Samia atakimbia nchi au
B)Wamsupport Samia na kumtangaza mshindi wa hichi kiini macho kama wanafikiri Samia atabaki madarakani na kuwalinda na hasira za Watanganyika.
 
Jifunze Sasa kuheshinu WATU na kuamini BILA HATA kuona aione Kiranga
Mkuu,

Mimi bado sijawa impressed mpaka wamtoe Samia.

Kama hawajamtoa Samia watakuwa wametoa statement kubwa, wameenda pale ambapo hawajawahi kwenda, lakini hiyo haitamaanisha kuwa wamefanya kitu cha kubadilisha nchi cha msingi.

Kwa sababu fujo zote hizi wanavyofanya na kujirekodi kesho wanaweza kushitakiwa na hizi video zikatumika kama ushahidi kuwa walifanya looting.

Kama wale Wamarekani wa January 06 2021 waliovamia Congress.

Wakati Samia akiwa rais bado.

So. Mpango wa kumtoa Samia unaendaje?

Kama hakuna mpango wa kumtoa Samia bado mnacheza makida makida tu.
 
Wanategemea jeshi lisaidiye kumuondoa wasiyemtaka wakati huyo wasiyemtaka ni amiri jeshi mkuu.
Logic gani hii?
 
Wanategemea jeshi lisaidiye kumuondoa wasiyemtaka wakati huyo wasiyemtaka ni amiri jeshi mkuu.
Logic gani hii?
Watanzania wanaotaka utawala wa kijeshi, wengi kwenye hili ni kama watoto naive wasiojua utawala wa kijeshi ni nini.

Watu wanaoelewa utawala wa kijeshi ni nini huko Bangladesh (wamepata military coups 29, ishirini na tisa) wamemtoa Waziri Mkuu wao Sheikh Hasina na ndani ya siku 3 wakamuweka Waziri Mkuu mwingine wa kiraia Muhammad Yunus.

Hasina kaondolewa August 5 2024, Yunus kawekwa August 8 2024.

Siku tatu wameangusha serikali na kuweka serikali mpya ya mpito ya kiraia.

Vijana wa Bangladesh hawakuhitaji mwanajeshi, hawakuweka mwanajeshi, wanawajua wanajeshi, hawakuwataka wanajeshi.

Sisi tuna ulimbukeni fulani na wanajeshi.
 
Nyie subirini muone mambo leo, ndio mtajua kwanini Tanzania kuna amani, jamaa walikua wanawatazama tu kwanza, wanawapa mda. Kinacho fatia ni kipigo cha mbwa, hakuna cha Gen z wala Gen X
 
Wanategemea jeshi lisaidiye kumuondoa wasiyemtaka wakati huyo wasiyemtaka ni amiri jeshi mkuu.
Logic gani hii?
wamesahau, Mjeshi akitaafu anapewa tena keki ya ukuu wa mkoa aendelee kula, wewe utakua na akili timamu umpindue anae kupa ulaji? wanafikiri Tanzania ni kama ivory coast
 
Inawezekana wanasoma upepo ili wachague upande gani.

A)Waseme uchaguzi haukukizi vigezo kwahiyo urudiwe kama Samia atakimbia nchi au
B)Wamsupport Samia na kumtangaza mshindi wa hichi kiini macho kama wanafikiri Samia atabaki madarakani na kuwalinda na hasira za Watanganyika.
Na wakimtangaza kimagumashi, Gen Z watawasalimia tu- hakuna namna.
Mpaka sasa wanapiga mahesabu ya namna ya kuukwepa mtego huu ili waendelee kuishi kesho yao
 
Nyie subirini muone mambo leo, ndio mtajua kwanini Tanzania kuna amani, jamaa walikua wanawatazama tu kwanza, wanawapa mda. Kinacho fatia ni kipigo cha mbwa, hakuna cha Gen z wala Gen X
Mfumo wa serikali uliopo wa kugawa fedha na kupandisha watu vyeo sio effective. Utagaia fedha wangapi ? Utapandisha watu vyeo wangapi ? Utaachia watu waibe wangapi ? Ndio maana sishangai hata huko jeshini kuna Majenerali wanasimama na wananchi.
 
Back
Top Bottom