Kizazi cha sasa si kile cha enzi zile eti mpigwe mkwara na mkaufyate.I’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Jifunze Sasa kuheshinu WATU na kuamini BILA HATA kuona aione KirangaI’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
💯%.Kizazi cha sasa si kile cha enzi zile eti mpigwe mkwara na mkaufyate.
Wameenda mbele, wanaonesha sura zao na ni fearless ingawa wanajua kuna wenzao wameshatekwa.
Whomever anachukulia hii poa, ana shida sehemu.
Watu walihitaji kuwa activated tu!
Hatuna jeshi wala polisi la kuzuia hata watu laki moja!Next waandamanaji laki mbili kuelekea Ikulu na kufunga city Center yote na maofisi ya serikali, Samia ataomba poo lazima
Sasa nenda kalifanyie editing lile Bandiko lako la capt. Tesha lililo Sababisha watu wakutolee mapovu humu ndani. Uungwana ni vitendo.I’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Ulisema hakuna atakaye andamana, nilikwambia watie moyo iko siku utafurahi.Hatuna jeshi wala polisi la kuzuia hata watu laki moja!
Btw, huu ndo muda wa masala kuendesha zile Rolls Royce na Bugatti za Abduli na wacenge wenzake.
Mali za umma zile.
Kwa kweli I’m pleasantly surprised. That I can’t lie.Ulisema hakuna atakaye andamana, nilikwambia watie moyo iko diku utafurahi.
Ingawa safari bado lakini unajisikiaje kwasasa mihambazi inaposhughulikiwa?
Haya maandamano yanapaswa yawe ya siku 10 mfululizo hakuna maongezi wala kumsikiliza mtu ambaye aliteka kwa kiburi, kutesa na kupoteza watu kwa mbwembwe.
I told you, you will be surprised, na jeshi letu linatulinda sasa, watu walimbeza Capt.Tesha wakasema ni AI, mara hana uwezo huo, niliwaambia tuwape moyo ili tuipate Tanganyika, na tumeanza vizuri hopefully tutamaliza vizuri.Kwa kweli I’m pleasantly surprised. That I can’t lie.
Natamani nimwone Kikwete anavyotembea kwa madharau! Pumbavu kabisa!Ulisema hakuna atakaye andamana, nilikwambia watie moyo iko siku utafurahi.
Ingawa safari bado lakini unajisikiaje kwasasa mijambazi inaposhughulikiwa?
Haya maandamano yanapaswa yawe ya siku 10 mfululizo hakuna maongezi wala kumsikiliza mtu ambaye aliteka kwa kiburi, kutesa na kupoteza watu kwa mbwembwe.
I knew the election day was a rare window of opportunity to get this done! No state is capable of quelling a countrywide uprising!I’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!