Dar Lux Services

vp na mpangilio wa rangi za hayo mabasi utakuwa sawa na Dar Express?

hapana, wao ni buluu ya bahari, ila iliyokoza kidogo, na maandishi meupe!
 
Ningesema tuanza mkakati maalum wa kuyagomea ila sasa kama yataanza ku-operate kipindi hiki cha x-mass campaign hii inaweza kufeli kwani ndio wakati wa watu wengi kusafiri
 
Ningesema tuanza mkakati maalum wa kuyagomea ila sasa kama yataanza ku-operate kipindi hiki cha x-mass campaign hii inaweza kufeli kwani ndio wakati wa watu wengi kusafiri

Jamaa wameshaanza kazi, nilikuta basi limepaki jana nje ya ofisi zao.
 
Ama kweli kila mtu anajaribu kulinda maslahi yake, si nasikia Dar exp ndiyo kampuni pekee inayo ongoza kwa kusafirisha madawa ya kulevya sasa wanayoitetea wako upande upi?

Inaweza Kuwa!! Ingekuwa Bora Ukapeleka Ushahidi Vyombo Vya Usalama!! Ila sisi Tunataka zaidi Kufika salama Kwenye Safari Zetu!! Na Dar Express Wanawezesha Hilo!!
 
Je Kwani Issue Ya Dar Express Inaendeleaje? Ila Nayaona Baadhi ya Mabasi Njiani Tunaomba Tujuzwe!!
 
Inaweza Kuwa!! Ingekuwa Bora Ukapeleka Ushahidi Vyombo Vya Usalama!! Ila sisi Tunataka zaidi Kufika salama Kwenye Safari Zetu!! Na Dar Express Wanawezesha Hilo!!

mkweeee upo jombaaa.kufika salama utafika coz jamaa anaongoza kwa mabenzi mapya lakin na hako ka cophine amphetamine tunakaonaje???sasa tupeleke ulaji au 2peleke ushahidi!!! Kwana jamaa wanawatalaam au wataambiwa ni unga wa ngano kutoka nje.
 
Duu waskaji mnajua kujenga hoja mwenye DAR LUX namjua nje ndani kwa taharifa yenu anagari moja sema kajipanga vizuri na kaingia kwa gear kubwa as if ana magari 50 kupata jina mabo yote hayo huzushii mtupu mkiendela kubisha nitawapa mpaka bei ya gari!!
 
kumbafu we! ndio wamekutuma uwafanyie markerting???????
Mnaudhi sana na njaa zenu zinazofanya mtumiwe na kila mtu.

mods, tia wavuni haya matangazo ya biashara yasiyolipiwa mkuu.......wanaudhi sana hawa:spy:
 
lorry lililoua hapo ubungo ni la dalbit!!!!
 
Kama ni kweli basi mjini shule shamba kilimo, jana niliona basi moja na sio jipya, kama nilitazama vizuri. Kuna uwezekano wa madai yako kuwa sawa...
 
kumbafu we! ndio wamekutuma uwafanyie markerting???????
Mnaudhi sana na njaa zenu zinazofanya mtumiwe na kila mtu.

mods, tia wavuni haya matangazo ya biashara yasiyolipiwa mkuu.......wanaudhi sana hawa:spy:

FATWAH ya nini ndugu? Kitendo cha kampuni kutajwa katika uzi si lazima liwe tangazo la biashara. Nimejenga hoja kuihusisha kampuni mpya na hujuma inazofanyiwa kampuni ya Dar Express, mimi ni mdau wa usafiri kwa kiasi kikubwa... Lazima ujitulize kabla ya kuweka pingamizi zako zenye asili ya tundu la kinyesi!
 
Inaweza Kuwa!! Ingekuwa Bora Ukapeleka Ushahidi Vyombo Vya Usalama!! Ila sisi Tunataka zaidi Kufika salama Kwenye Safari Zetu!! Na Dar Express Wanawezesha Hilo!!

maraia wengine huwa wanakurupuka. Husianisha jinale na hoja aliyoiweka...
 
Je Kwani Issue Ya Dar Express Inaendeleaje? Ila Nayaona Baadhi ya Mabasi Njiani Tunaomba Tujuzwe!!

nadhani mbinu zao chafu zilishindwa dhidi yao. Hoja ya kubatilisha hujuma zao ni kuwa zile gari zilienda kufanyiwa uchunguzi tu. Kilichoshangaza ni kwanini uchunguzi huo ukafanyikie kituo cha polisi O'bay na sio huko mabarabarani! I wonder...
 
wewe ni mdau wa kuwatangaza... naona unajaribu wajengea emage nzuri.
endelea kuwatumikia
 
wewe ni mdau wa kuwatangaza... naona unajaribu wajengea emage nzuri. endelea kuwatumikia
Hoja hupingwa na hoja bi-dada... sio nguvu. Sawa? Naomba ujenge hoja na sio kulaumu vitu bila kuweka ushahidi. Hapo kwenye rangi ya magamba nadhani ulimaanisha 'image'!:A S embarassed:
 
huo ni wivu wa maendeleo inamaana yeye akianzisha hiyo kampuni tayari mnamuhusiha na kigogo . hivi unafikiria hapa tanzania hakuna watu ambao wanashindwa kufanya hivyo tatizo la watanzania mna wivu ndio maana hatuendelelui
 
kama unashida ya kazi unaenda kuomba na sio kuandika upuuzi huku kwenye mitandao
maendeleo hayo acha wivu

hebu anzisha na cha kwako na wewe upate jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…