Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,606
- 13,474
Nimeendelea kugugo. Wanasema ni mtoto wa mwenye Azania group, wengine wanasema ana connection na riz1.Nasoma historia yake hapa kaanza biashara ya mitumba kutoka Canada mwaka 2006.
Mi mwenyewe nimemgoogle huyo jamaa wa lae oil af ni chalii sana 36 yrs... Hizi investment za lake sio mchezo kila Kona wapo.... Au karithi pesaNasoma historia yake hapa kaanza biashara ya mitumba kutoka Canada mwaka 2006.
Basi gani hilo mkuu?Jana nimetoka mwanza-mpanda abiria hata 20 hatufiki.
Kampuni zinajiendesha kwa hasara sana msimu huu.
Premier bossBasi gani hilo mkuu?
Lkn mwaka bd haujaishaIsitoshe kusema hii comment ndio bora zaidi hadi sasa ndani ya huu mwaka!!
Nauli wanafanya bei gani? Nimeliona limepaki Mizengo Pinda leo! Nahisi halijatokaPremier boss
Bank ipi?Y'all don't know how money works. Endeleeni kudunduliza hadi siku mpate mtaji wa 10M USD in your lifetime. Kama unataka kuscale up your business utaenda bank mwenyewe.
Elewa neno "hadi sasa"Lkn mwaka bd haujaisha
Kisbo na Kibo si za Zuberi...hao ni wachaga Mzee. Zuberi bado yupo sema mapinduzi ya ushindani wa Sasa ni kama anashindwa kwenda nayo kwa Kasi kama wenzake kina Ally's na Happy nation.Zuberi yupo wewe , hizo gari za kisesa , kisbo ,kibo ,zube trans na Zuberi trans unafikiri ni za nani ?
Na ana stendi yake hapo Nata ,Mwanza mjini
Mzee yuko bado kwenye Game
Biashara ni kama mtoto anayehitaji uangalizi wa karibu sana.......kula, kuogeshwa, kuvalishwa, kumpeleka hospital, nk. Kuhusu hayo mabati ya kichina, mmiliki anapaswa kuyaondoa (dispose) mara tu anapoona yamechoka na hayana ushindani barabarani, na afidie kwa kununua lingine (replace). Hayo yaliyochoka awauzie wale wanaopiga route za uswekeni, maana yanakuwa bado na thamani kidogo (residue value) na yanafaa kwa safari za vijijini (mfano kwenda kigoma).Marco Polo za Zuberi bado zinadunda tu mpaka leo .
Ingawa ana gari za kichina baadhi ila Marco Polo na Scania ni nyingi .
Haya mabati ya kichina hawa wanaoingia kwenye industry ndio wanapotea nayo
Hata Abood ana Marco Polo nyingi kuliko mabati ya kichina
Kakimbia madeni yupo zake Marekani na familia yakeNiliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana hutengeneza ajira Ila hapa, mpaka utoke damu masikion ndo TRA wakuachie
View attachment 2860514
Usimsahau Ally's. Sisi tunapata ufahamu tunamkuta jamaa anadunda na Mibasi yake.Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Na wanazidi kushusha vyuma vipya. Wakongwe wengine wote walishatupa vitaulo
Nauli hata 27k tu naenda mkuu. Premier anapumuli mipira.Nauli wanafanya bei gani? Nimeliona limepaki Mizengo Pinda leo! Nahisi halijatoka
Huu ushauri natamani kuna ka kundi Flani wakaonee.Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeona fursa.
Anasema hajarithi, baba yake alikataa kumpa pocket money wakati anasoma Canada kwa kudai kuwa ameshakuwa mtu mzima ajifunze kutafuta pesa. Hapo ndio akaanza kufanya biashara ya kusafirisha mitumba kutoka Canada kuja Bongo.Mi mwenyewe nimemgoogle huyo jamaa wa lae oil af ni chalii sana 36 yrs... Hizi investment za lake sio mchezo kila Kona wapo.... Au karithi pesa
USD Millionaire by 23Anasema hajarithi, baba yake alikataa kumpa pocket money wakati anasoma Canada kwa kudai kuwa ameshakuwa mtu mzima ajifunze kutafuta pesa. Hapo ndio akaanza kufanya biashara ya kusafirisha mitumba kutoka Canada kuja Bongo.
Hizi stori za matajiri jinsi walivyofanikiwa zinaingia akilini kwa matajiri wenyewe.
Na kusoma hajui ila ana run biashara ya billionsUsimsahau Ally's. Sisi tunapata ufahamu tunamkuta jamaa anadunda na Mibasi yake.