Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
Kama ni sherehe hakuna ubwabwa huko na kigodoro watoto wa uswazi tujimwage??
Hii balacks iko mtaa gani?Au Gongolamboto Balacks?
Linapofyatuka linalia Fyuuuuu linapotua linalia Booooooom,Hivi bomu linalia linapofyatuliwa au fyatuka au kule linapotua na kupiga au vyote?!
Hapo Mkuu, ungeenda tu, kwani ukisha kuwa naye, yote hayo hutayasikia.nilikua nataka nifuate demu upanga nimeshaghairi hali si shwar
Ndio nini hiyo Mkuu?Hii balacks iko mtaa gani?
Watu wa kkoo ,magomeni na jirani wameshazoea hii hali karibia kila mwaka halafu fataki huachia nwanga na nyota angani mm npo magomeni nayaona ..huyo wa kkoo atakayekimbia ntamuona wa ajabuMi ndo nipo mitaa ya ilala bungoni nmetoka huku pugu kwa miguu nikacheki hiyo milipuko ni ya nini. Nmechoka sana kwa kweli lakini najitahidi nikashuhudie maana unaweza kuta watu wamekimbia wameacha ma TV yao huko kariakoo na post ukajibebea tu. Nikifika ntawajulisha.