Kwanza Kabisa nikusihii Mod usiunganishe Thread Hii, naomba Tujifunze hapa .
Nianze kwa kusema tu , leo 12:00 kilichotokea Kwakweli ni Usumbufu wa Hali ya juu kuwahi kutokea , Fataki zikizopigwa ni hazistail kabisa Kufanyika Kwnye Jamii ya Watu wengi na wenye Afya Tofautitfauti pasipo kua na Taarifa Rasmi.
Kikicho tokea leo si Kitu kigeni, Fire Works Zimekua zikipigwa bila kujali Matokeo kwa Upande yake kwa Jamii.
Naomba Kufahamu , Process nzima na Utaratibu unavypaswa kua Mpaka Mtu kupata Ruhusa kamili ya Kupiga Fataki.
Je kuna Kuna Public Notes yeyote inapaswa kutolewa kabla ya Kitendo Hicho.
Familia yangu mpaka muda huu wameshindwa Kulala kwa Sababu ya Starehe za watu wachache , sijajua madhara zaidi kwa Upande Wa Kaya Nyingine.
Na Je , kuna Uwanja wa Kisheria Kumruhusu Muathirika wa tukio hilo kupata fidia endapo litamletea madhara kwa namna moja ama nyingine.