Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Bahati mbaya wanaambulia wanaume wa Dar,
Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.

Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
 
Mademu wa mikoani ni shida.
Kupika wanajua kusokota udaga tu !
Mavazi!
Kitandani,kifo Cha mende basi! Hakatiki
Jeuri
Wanakuwa na kopo la kukojolea usiku!
Usafi nil
Kujipenda nil

Ki ukweli ni changamoto.
 
Mademu wa mikoani ni shida.
Kupika wanajua kusokota udaga tu !
Mavazi!
Kitandani,kifo Cha mende basi! Hakatiki
Jeuri
Wanakuwa na kopo la kukojolea usiku!
Usafi nil
Kujipenda nil

Ki ukweli ni changamoto.
Hahaha demu anakaa na makopo ya kukojolea ndani duh aiiiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…