Natamani nikutukane kwa kutaja kiungo cha mzazi wako.Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Asante Drone Camera nimerudiUlipotea Mama D..,Welcome back.
Wengi hawaelewi tofauti kati ya interchange na Flyover.Hii ndio interchange mliyokuwa mnaonyeshwa kwenye kideo?
Ama kweli Tanzania akili huwa hazipo mnafurahia kabisa mnaonyeshwa ghorofa kama kobe mnajengewa linalofanana na bata Mungu wangu
Mkuu unanitukana kwa kusahau kusema Magu asifiwe kwa kugeuka kwa dereva wa beberu,yaani rais wa WB au?
Mkuu ukijenga kitu Kama hiki bongo tena awamu hii,mbona kila mgeni atakayemtembelea Magu atapelekwa kuiangalia as if ni kitu kipya duniani na makelele ya kusifu na kuabudu yatapigwa sana na kina Bus Yetu hadi masikio yatuumeWengi hawaelewi tofauti kati ya interchange na Flyover.
View attachment 1442926
Kimsingi interchange (simple) iko hivi.
Zile complicated(ingawaje hii ni ya left hand drive)
View attachment 1442939
HahahahahKinondoni 531 km sq.
Nairobi 696 km sq.
Dar 1,590 km sq.
Si angerudi kwenye kideo atangaze tena brother? Au kuna public notes walitoa?Binafsi natambua kuwa ramani ilibadilishwa japokuwa ile ya mwanzo ilikiwa nzuri sana kuliko hii ya sasa.
Kwa hiyo Magu akaamua kutudanganya watanzania mubashara TBC1 na yale mapicha yake?Wengi hawaelewi tofauti kati ya interchange na Flyover.
View attachment 1442926
Kimsingi interchange (simple) iko hivi.
Zile complicated(ingawaje hii ni ya left hand drive)
View attachment 1442939
Gia ilibadirishiwa angani wakati public notes zipo down downSi angerudi kwenye kideo atangaze tena brother? Au kuna public notes walitoa?
Embu fukua fukua huko makabrasha yako tuone kama tutapata kasheria kakumshitakiGia ilibadirishiwa angani wakati public notes zipo down down
Hehehe!!!
Mkuu huku shithole sheria ni kwaajiri ya kumkandamiza mnyonge,Ila wakubwa na mafisadi Sheria is nothingEmbu fukua fukua huko makabrasha yako tuone kama tutapata kasheria kakumshitaki
Wewe kweli hujijui!Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Mbona kawaida sanaAnyway kukujibu swali lako, hivi hapa vipande vya Thika superhighway Nairobi
Oooh kwa hiyo nchi hii Mambo yanapelekwa kwa utashi wa aliyepo madarakani na si maslahi ya taifa kwa nini mnaojijua? Kweli wewe ni utopoloWewe kweli hujijui!
Sasa hapa aliyetekeleza huo mradi ni JK.? vipi kama Magu angeamua kuupiga chini?...
Wao wanavizia kupiga picha kwenye maziko makaburini na kusema wamekufa kwa corona😄subiri chadema waje kupinga