DAR kufanana na jiji la NEW YORK!

Asante mleta mada nimegundua kitu kimmoja ambacho kina haribu nchi yetu na kwakusoma wachangiaji wengi hawa hakiona bado. Kitu kinachotusumbua Watanzania ni mfumo mbaya wa uongozi na tatizo sio CMM. Hili ni tatizo kubwa na sio Tanzania tu Bali ni Africa kwa ujumla. Mfumo wa uongozi wa serikali ni mbaya hata kama mkibadilisha chama wakaingia wapinzani matatizo bado yataendelea kuwepo .
Suala hapa ni kudecentralised yaani kuondoa ukilitimba uliopo ambao umeshikiliwa na serikali kuu yaani central government na kuzipaa nguvu zaidi serikali za mitaa kuamua ni jinsi gani zinataka kuendesha na kuendeleza miji na hapo ndipo utaona ufanisi mkubwa .
Halmashauri za miji ambazo ni serikali za mitaa za Tanzania ziko inefficient kwasababu ushiriki wake ni mdogo. Hizi ndizo zinatakiwa ku plan miji na kuingia kwenye mikataba na makampuni binafsi kujenga makazi na kujenga sehemu za biashara kwa ubia na makampuni binafsi. Kutoza kodi za council tax kwa kila property kwa ajili ya matengenezo ya barabara za mitaani na uzoaji wa takataka. Tukiweza kufanya vyote ivi tutafika mbali maana wewe na mimi tutakuwa na uwezo wa kuamua Maendeleo yetu na sio kusubiri serikali kuu.
 
Binafis nimekupata sana na kwangu limekua ni wazo jipya na pengine the possible solution!
 
Mkuu Barry Dauda Jr Kama tukizipa nguvu Local Government Authority na zikawa na accountability kujua kuwa wakichezea pesa zetu wanawajibishwa na wakurugenzi wanakuwa wanakuwa na mikataba ya miaka mitano na nafasi zao zinatangazwa tunaondoa kuteuliwa na rais na independent firm zinausika kwenye kuwapata na sio wizara ya utumishi . Hapo tutaweza kupata watu wenye sifa ya kuleta Maendeleo sio watu wakwenda kupeperusha bendela ya chama cha siasa.
Tunawapa malengo yetu ni kuleta Maendeleo yafuatayo katika kipindi cha miaka mitano wakishindwa hatakiwi kurenew mkataba. Kila mwaka watoe report ya utekelezaji sio kusubiri miaka mitano ndio watueleze kuwa unajua pesa zimekosekana. Dunia ya leo pesa sio tatizo la utekelezaji wa mipango ya Maendeleo . Pesa zippo ni kuwa na mikakati na mipango mizuri ya Maendeleo yenye kuleta faida then utapata investors wako wengi wanasubiri miradi yenye faida na uhakika wa hela yao isipotea. Kwahiyo asije kiongozi akasema kuwa hakuna pesa za miradi huyo kwangu ni mvivu wa kufikiria na ndio hao wamejaa kwenye uongozi Tanzania ambao hawajui jinsi ya kutengeneza mbinu za kupata capital. Dunia ya sasa utakiwi kuona aibu kama hauna mbinu tangaza tender invite consultancy firms zitende kutengeneza financial modelling ya ku finance projects zako tena ukitaka mpaka kwenye kupata na investors watakutafutia kwa malipo na hata kusupervise finance ya miradi yako mpaka unakabidhiwa completed projects. Kwahiyo mpaka hapo tumeona hakuna kinachoshindikana tunaweza kupata Maendeleo kwa haraka ni sisi wenyewe tu kujipanga kama kweli niya tunayo . China ameingia WTO 2001 wakati Japan walikuwa exporter wakubwa sasa hivi China ni number one kwahiyo ni malengo tu na jinsi ya kutekeleza.
Kikubwa tuwe na viongozi walio na mwelekeo wa dunia ya sasa na sio ambao bado wanafikiri kama miaka 80. Hatuitaji 100 kuwa na Maendeleo ya New York City tunaitaji miaka kama 25 tu tunaweza kufikia Maendeleo yao tukawa mpaka na underground transport kwa Dar es Salaam.
Natafuta article mmoja ya jinsi China walivyoweza kujenga underground transport zao kwenye miji yao mikubwa ndani ya miaka 10 wakati London Underground network yake wamejenga kwa zaidi ya miaka 100, kuna line nyingine za London Underground zimejengwa zaidi ya miaka 150 iliyopita. Dunia ya sasa technology imerahisisha sana na kuna financial means nyingi sasa kuliko wakati wowote ule toka dunia ilipoanza.
Kwahiyo kila kitu kinawezekana ni kuwa na mipango na mikakati mizuri . Anayesema haiwezekani basi huyo ni mvivu wa kufikiria maana tumekwisha ona siyo lazima ujue kila kitu wapo wanaojua wanasubiri kuuza taaluma yao, tuwatumie tuweze kupata Maendeleo.
 
#PESAYAKO watu kama nyinyi ndio mnaohitajika ktk mijadala maalumu ya kulikomboa taifa,naomba inapotokea nafasi ya kuhitaji michango na mawazo huru sehemu yoyote uwe unajitokeza ndungu yangu ikibidi ufanye hata move ya kuingia mjengengoni usaidie baadhi ya mizigo inayo piga usingizi mule ndani na ikiamka na kupata nafasi ya kuzuzungumza inaanza na kusifia chama chake,inaenda kwenye familia yake ndio inamalizia wananchi,sisi tunataka mtu anaeweka mbele nchi na wananchi wake kwanza afu vingine baadae na asiyeweza hilo asituwakilishe na asituongoze coz uongozi ni wito sio kitu hovyo hovyo!
Safi mkuu na tunaomba uendelee kutushushia vitu hapa...
Nakupa "like" nyingine ya maandishi coz siwezi kubonyeza kitufe cha like tena coz kulike mwisho mara moja.
 
Asante sana mkuu Barry ,mimi niko tayari kumsaidia mtu yeyote kwa mawazo au kuchangia kwenye mjadala wowote ili kuweza kufanikisha mipango ya maendeleo kwa Watanzania wote wapenda maendeleo. Tunahitaji kushirikiana na kuwa na moyo wa kutokukata tamaa .Pia tunahitaji kuangalia nini tunatakiwa kufanya kabla ya kuanza kulaumu uongozi au ndugu au jamaa kuwa awatusaidii kuweweza kufanikisha mipango yetu.
Mara nyingi tunakuwa tunashindwa kuona fursa lakini ukweli kuwa fursa tunazo na inawezekana ziko karibu yetu kuliko tunavyofikiria. Utakuta viongozi wanatafuta mfadhili wa kuwasaidia kujenga kisima cha kijiji au kata wakati walikuwa na uwezo wa kujioganizi wakajenga wenyewe kwa kutumia watu wao wenyewe badala yake watakwenda kuomba msaada ubalozi wa USA au UK wawasaidie kufanikisha ujenzi. Na hawa jamaa wakishaona kama tunashindwa kufanikisha vitu ambavyo ni basic wao wanachukulia opportunity ya kuwin vitu vingine vikubwa zaidi. Na vilevile wanatudharau kama tunashindwa vitu vidogo kama hivyo wanagundua kuwa bado tuko wajinga na maskini wakati ukweli tumezungukwa na utajiri. Na wao ili kuendeleza influence wanatusaidia na kuita media kureport msaaada wa kisima cha maji cha TShs.125million ambayo haifiki hata nusu ya mshahara wa mshauri wa ubalozi. Kwa mtaji huu lazima watakuja na kuanza kukufundisha na kukupa sera zao zinazo wasidia wao na sio zinazokusaidia wewe maana umeshindwa kujisaidia vitu ambavyo ni basic. Ni aibu na kuna mambo mengi sana ambayo hayaitaji msaaada wa wafadhili ambayo tungeweza kufanya wenyewe.
Tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa uongozi pamoja na fikra zetu kuweza kuwa tunafikiria kuwa tunaweza na sio hatuwezi mpaka wafadhili watusaidie kwa mtaji huo ni ngumu kuendelea. Ukitaka kuamini angalia ni familia gani inaweza kuendeshwa kwa misaada mpaka ya chakula baadae ikawa tajiri. Nchi ni kama familia kwahiyo inabidi ipange mipango yake ya maendeleo yenyewe na sio kutegemea misaada kwa kila kitu. Tunaitaji kuweka mipaka ya misaada baadhi ya vitu tunaweza kusaidiwa lakini vingine tufanye wenyewe.
 
Another like mkuu!
 
Nashukuru mkuu Barry, pamoja sana tutafika na Tanzania yetu yenye neema kila kitu kinawezekana . Hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke . Maendeleo hayaji kirahisi tunahitaji uzalendo na kufanya kazi kwa bidii na sio siasa za kushabikia majina ya watu badala ya sera nzuri.
Tanzania yenye kila kitu na kila kitu kinawezekana na asiyekubali hilo ni mvivu wa kufikiri . Tunao uwezo wa kuwa na maendeleo makubwa suala ni kutokubali kuwa ombaomba na ku avoid destructions. Dunia ya leo kuna destruct nyingi ambazo azijawahi kuwepo tangu hii dunia kuanza. Ni rahisi ku loose focus zaidi ya wakati wowote hule. Destruction yaweza kuwa wahisani, vyombo vya habari vya kimataifa, mashirika ya misaada, wawekezaji wa kigeni, social media , mashirika ya fedha ya kimataifa , nk
 
Headache! Mkuu anza kujenga maisha ya familia yako yawe kama NY, na hata makazi yako. bongo never change, hadi pale tutakapopenda mikoa mingine na kupunguzia matatizo ya population pressure kubwa huko!
 
.......au ntakua na tafsir tofaut ya ulicho andika hapa unless sijaelewa!
 
Dar itabadilika endapo tutabadilisha mikoa mingine kuwa na hadhi kubwa kuliko dar.

La sivyo, itakuwa ni kama ndoto za alinacha!
 
Hivi kwa nini serikali imeachia machinga watumie kuuzia vitu ktk service roads na pembezoni mwa barara kubwa za mijini?
 
Back
Top Bottom