mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 69
Nimepita maeneo ya Mtava muda si mrefu nimeona magari ya fire yanaelekea huko..
===========
Later on..
DAR: Moto mkubwa unawaka katika kiwanda cha matairi cha Super Doll kilichopo barabara ya Nyerere. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na juhudi za kuuzima zinaendelea.
Taarifa zaidi zitafuata..