Huu no upuuzi wa hali UA juu aamaKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.
Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.
"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.
Chanzo: mwananchi
Huu ni upuzi wa hali ya juu sana, upelelezi upi kwa kwa jambo lililo wazi hiviKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.
Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.
"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.
Chanzo: mwananchi
Uvamizi ni tukio la jinai. Na jinai iko chini ya mamlaka ya Police. Hivyo Clouds wanatakiwa watoe ushirikiano. Kama ni kuombana radhi kwa nini hawakuyamaliza nyuma ya pazia?Kwani Clouds wao wametaka kumpeleka mtu mahakamani..? Nadhani kwao limeisha na wanachosisitiza wao ni wa Bashite kuomba radhi kwa tukio lile.. Sasa huyu Sirro hii ameitoa wapi..?
Ruge namkubali. Wape ushirikiano tu... maana ushahid unao mpaka zile cctv camera iliyoonyesha jamaa akingiia clouds na askari.
Hakuna cha kuficha..
And siro angalia rc anakuchafulia heshima yako mbele ya jamii. usoni unaonekana kuwa hupendezwi na hii hali lakin sababu ndio kibarua chako bas huna bud kufuata amri.
Hayawezi Kwisha haya mpaka haki itakapopatikana.Hivi jamani haya mambo ya Bashite si yalishaisha? naona yanarudi kwa kasi...kulikoni tena?
No wonder kibiti kuna mushkeli!Huku uraiani huwa wanalazimisha kutafuta ushahidi na wanaupata ila kwa hao jamaa wanaombwa kupitia kwenye vyombo vya habari pasipo kufika directly kama mamlaka inayohusika na upepelezi wa kesi
Mnataka muwageuzie kibao? Mtaumbuka wenyewe nawashauri muwe makini.Na lazima Ruge atoe ushirikiano hili jambo lieleweke vizuri na akijifanya kupuuzia mengi yanaweza kuibuka upande wa clouds na hasa Ruge.Namhurumia sana Kusaga kwani ni mtu muungwana sana na inawezekana amebebwa tu juujuu na Ruge katika hili swala.Wafanya kazi wa clouds nao wanachezeshwa ngoma ambayo hawaijui undani wake.Na mtaamini haya clouds itakapoanza kuporomoka down to ground level.
ibambasi huwezi kutoa maoni bila matusiNyie watu akili zenu zinasoma juu chini. Kesi ni ushahidi, malalamkijai anamnyima ushirikiano mpelelezi, ili mpelelezi apate facts/ushahidi wa kupeleka kesi kwa mwanasheria wa serikali hatimaye kesi ianze dhidi ya huyo anayedaiwa kuvamia. Sasa mnataka Sirro afanye nini?
Duh! Ulitaka wawe na ufunguo ndio ujue walienda kufungua hiyo kesi? Kama ni kuhusu kureport, waliliport ndio maana sirro leo katoka hadharani kusema watoe ushirikianoHivi hao Clouds tangu wamevamiwa kwanini hawaendi kushtaki polisi na kutoa ushirikiano kwenye UPELELEZI ??