Dar joto jamani khaaa

Dar joto jamani khaaa

Sababu kubwa ni Dunia kulizunguka jua ambapo lipo Tropic ya Capricorn na linakaribia kupita Equator ambapo sisi tupo karibu sana na mstari huo wa Equator hivyo joto lazima lizidi
Acha mauongo. Kwa Tz kagera ndyo ipo karbu ni equator.
 
mungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?
HAHAHAHA...... aisee.... Kumbe samaki mmoja akioza ni wote..... ILA KWAO NI DODOMA SIYO DAR TENA WAUZA WATU....
 
Mwenzako siku hzi situmii gesi wala umeme..joto hili linatosha kabisa kuivisha msosi
 
mungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?
Duuuh!
 
Hali ya joto chukua tahadhari
 
Attachments

  • IMG-20180221-WA0000.jpg
    IMG-20180221-WA0000.jpg
    80.8 KB · Views: 34
Hapo hiyo ni ya dar naona km kuna baridi,,, mmmh Joo mererani ujionee joto liko 36 alfu vumbi kimbunga kina speed 105kwa sekunde 3.001alafu kuna moshi wa baruti za milipuko inaitwa v6 ,,,,,,,dar hamna kitu kinaitwa joto ni baridi hiyo
 
Dar es Salaam

Tuesday

20th Feb 2018

partly_cloudy_and_rain.png

Min 24°C

Max 32°C

Wednesday

21st Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 25°C

Max 32°C

Thursday

22nd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 24°C

Max 33°C

Friday

23rd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 26°C

Max 33°C
NImeshanunu kiwanja Hanang, huku nitakuja kwa msimu
 
Back
Top Bottom