Dar joto jamani khaaa

Dar joto jamani khaaa

Dar es Salaam

Tuesday

20th Feb 2018

partly_cloudy_and_rain.png


Min 24°C

Max 32°C

Wednesday

21st Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 25°C

Max 32°C

Thursday

22nd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 24°C

Max 33°C

Friday

23rd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 26°C

Max 33°C

Halafu kwa joto kali la namna hii la ' Bongo / Dar ' bado unakuta kuna ' Lijitu ' kabisa linalazimishwa kwenda Kuoga huku lenyewe likiwa limedhamiria Kutokuoga.
 
mungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?
Kichefuchefu wewe!
 
Joto hupunguza nguvu za kiume,ndo mana zinakuja nyuzi nyingi za vumbi la kongo kutoka kwa wanadarisalama
 
Sisi wa huku mjini mkoani hata hatuna tatizo ,nyie pambaneni tu na hali zenu
 
Poleni sana wanandugu.

Fanyeni maamuzi ya kuhamaia mikoani kama baba alivyoamua.

Ipo siku Mungu atashusha neema kwenu.
 
Kipindi cha JK, joto alikua kali kabisa, lakini sasa hivi Joto kali, nasubiri Mange atuambie nani kasababisha
 
Hili joto linaletwa na ccm sijui wanatupeleka wapi

Ficha I'd yangu
 
Leo mchana ilifika kipindi ikabidi niwaulize google kiwango cha joto katika eneo nililopo wakaniambia ni 34° ila nahisi kama waliniongopea maana naona kama nipo kwenye sasayari ya mercury..na sijui ntalala wapi maana ndani hakulaliki.
 
Wale wanaojichubua na hili joto wanatamani wabadilishe ngozi
 
Aisee sisi huku wa Tandale, Manzese na Buguruni kipindi hiki tunalala nje na kuvikimbia vyumba vyetu.
 
Hata watumishi wakubwa kitaifa wa mungu Wapo Dar,huko mikoani kuna ibilisi na vizazi vyake
 
Kipindi km hiki ndio unapowaza uwe na kwako uweke na A/C.


Nalala uchi madirisha wazi cooler na feni vyote vinawaka
e52104af8c2ef322c40386b5f1c93b43.jpg
 
Kipindi km hiki ndio unapowaza uwe na kwako uweke na A/C.


Nalala uchi madirisha wazi cooler na feni vyote vinawaka
e52104af8c2ef322c40386b5f1c93b43.jpg
Utakua unakaa uzunguni. Sisi huku mtaani kwetu ukijaribu kulala hivyo utaamka asubuhi simu wamepita nayo
 
Back
Top Bottom