Dar joto jamani khaaa

Dar joto jamani khaaa

Inategemea unaish wap mkuu,.mi niko goba hapa kilelen kabsa.bahar naiona ileee napigwa pupwe la asili had nakufuru sometime,...token katkat huko ya jij,..unakaaje bugurun au manzese ?hamien shamba huku,bahar naiona ileee
 
Hivi Sinza hawaibi kama Kigamboni na Kawe eeh. Kuna ile style yao ya juingiza jimti ndani mbele wanafunga kichoteo.
Yani mwizi aruke ukute achqne nyavu aingize mti mm bado nakoroma tu...hata nikiwa nmelewa ukigusa dirisha au mlango nashtuka kwanza mm nalala saa 8 usiku.

Mara ya mwisho kuibiwa hivyo nlikuwa naishi kwa alimaua mwaka 2008
 
watumishi wamefuata mzunguko mkubwa wa hela za sadaka dar
 
ndio kitu kinafanya nisipende dar kabisa joto mpaka kero..laiti kariakoo ingekuwa arusha, dar ingebakiwa na wazaramo na joto lao
 
Dar es Salaam

Tuesday

20th Feb 2018

partly_cloudy_and_rain.png

Min 24°C

Max 32°C

Wednesday

21st Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 25°C

Max 32°C

Thursday

22nd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 24°C

Max 33°C

Friday

23rd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 26°C

Max 33°C
Mi huwa mkoa huwa unanishinda
Four years cjaukanyaga
Maana duh
 
Da mange huwezi amini joto dar limefikia nyuzi 40 hii serikali sijui inatupeleka wapi
Plz hide my id
 
Dar es Salaam

Tuesday

20th Feb 2018

partly_cloudy_and_rain.png

Min 24°C

Max 32°C

Wednesday

21st Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 25°C

Max 32°C

Thursday

22nd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 24°C

Max 33°C

Friday

23rd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png

Min 26°C

Max 33°C
Moshi maximum temperature ilikua 34 degrees Celsius.
 
Hivi Sinza hawaibi kama Kigamboni na Kawe eeh. Kuna ile style yao ya juingiza jimti ndani mbele wanafunga kichoteo.
Sinza hamna wezi kabisa...we tembea hata sa nane bidada, no body care!

Logwa uishi Kigogo, saa tatu mwisho kwa mwanamke kuzurura lasivyo utakombwa kila kitu
 
Sinza hamna wezi kabisa...we tembea hata sa name bidada, no body care!

Logwa uishi Kigogo, saa tatu mwisho kwa mwanamke kuzurura lasivyo utakombwa kila kitu
Tatizo Sinza kila mtu mjanja. Utamwibia nani. Wanaoiba ni wale wa bodaboda sana sana. Huko Kigogo nasikia hata mchana wanaiba.
 
Tatizo Sinza kila mtu mjanja. Utamwibia nani. Wanaoiba ni wale wa bodaboda sana sana. Huko Kigogo nasikia hata mchana wanaiba.
Kuna mateja fulani hapa mori big bon walitokea tandale uzuri lakin, wakaanzaga huo mchezo wa udokozi, wee tuliwavurumusha na wizi wao wakapotea!

Ndugu zangu wanaishi huko Kigogo luanga! Sasa siku nimeenda kuwatembelea vichochoroni hata gari haliingii, nikapaki barabarani kuna kibaa fulani mshenzi mshenzi, vibaka wamejaa hapo, mi hata sijui!huwezi amini nilikabwa nikanyang' anywa pochi ina kila kitu, pesa, simu, vitambulisho!

Saa mbili hiyo usiku, mburaa mbona nilirudi fasta barabarani nikasepa! Nikawambia hao ndugu zangu kazi wanayo asee, eti oo njoo tukukamatie wezi wako tuwapeleke CUF....nikasisitiza sitakujaga huko tena na kazi mnayo mnaoishi huko...sinaga hamu na Kigogo napachukia hataree
 
Polee. Mi mitaa yenye vibaka sikai kabisa.
 
Mmmh ila kweli kuna hali sio ya kawaida..nimekumbuka ID ya member mmoja humu anaitwa Joto balaa.
 
Kumbe jua linatosha kumulika waovu. Hatutaki mwenge lenu nyie CCM jua hili linatosha. Limulike na kuwachoma zaidi jeshi la Police
 
Back
Top Bottom