DAR: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli

hahahahaha, wajinga ndio waliwao, mngemuacha tu aendelee kuzitafuna! hana tofauti na wale wanaojiita mitume mitaani na kufungua makanisa.....
 
Ana jina gani la ukoo????? Haaaa haaa hawa jamaa zangu wanajiongeza sana, wanajua kukamata fursa hata kama sio.
 
''Alikuwa akijifanya kiongozi wa serikali''
nachelea kusema, jamhuri isije kujiondoa kwenye hii kesi baadae, kama kule Arusha!
 
mbona ni tuhuma tu askari wanaweka kwenye media kweli sheria imeangaliwa hapo maana nilifikiri labda ni hukumu tayari
Je huyu mtuhumiwa akikataaa mashitaka na kusema kuwa ni ugomvi kati yake na askari
Tafadhalini zingatieni sheria na acheni kuchukulia sheria mikononi
Imewekwa gazetini kama tuhuma pia sio hukumu. Itasaidia kama kuna watu wengine wanamtuhumu kujitokeza.
 
Wamemwonea Sana, huyu alikuwa anajitafutia riziki yake kutumia bongo aliyozaliwa nayo, angekuwa jambazi hapo sawa.
 
Back
Top Bottom