Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Sasa ndo useme Dar Kwa watu wa Aina yako ndo inawapotezea muda sio Kila mtu inampotezea muda.Kuna watu inawapotezea muda na kuna watu haiwapotezi muda.Isiwe general kuwa Kila mtu inampotezea muda.Sema baadhi ya watuDoh!!!
Mkuu Mimi sipo kutoa ushauri as watu wafanye nini , Bali nimetoa ushuhuda wangu kwa upande wangu jinsi hapo Dar" kwa wajanja "palivyonipotezea muda , mind ya!, mimi ni born town , wakuja hapo alikuwa marehemu baba yangu, kiufupi ile "ng'aaa "nafumbua macho , nilikuwa maeneo ya ocean road
Joto na foleni ni kero kubwa Kwa Dar Kwa kweliDar kinachokera ni foleni na lile joto..Yaani muda wote akili iko juu juu tu huna muda wa kurelax...
Lakini mbona unakimbia swali langu we mzee wa Tandale ?, nionyeshe maeneo ya ovyo ya Mwanza , we si ulikuwa unajitia mjuzi ?Mwanza nalo ni jiji kwani? Umeshajibiwa Kwa takwimu za NBS Mwanza wanaishi Kwa maisha ya dhiki hata Pato lake ni dogo ukilinganisha na Dar
Hii ligi ina miaka mingi haiishi.Ila Mkulu alishasema watakao Baki mjini wanaumeNaona hapa kutakua na mpambano kati ya wanaume wa Dar na wanaume wa mikoani,ngoja niongeze Popcorn na pepsi baridi kwanza.
Hapa ni uongo . Inategemea mkoa gani . Mikoa kama arusha matajiri wanatembelea magar ya bei mbaya kuliko hata ya serikali na si moja. Yako mengi.Ukiegemea kwenye hesabu za probability, uwezekano wa kutoboa ukiwa Dar ni mkubwa kuliko mkoani. Magari na majumba mazuri yako Dar. Mkoani mtu anayetembelea shangingi ni mkuu wa mkoa pekee, whats ur chance of getting one?
Ina depend ...ila kuna majiji yana gharama juu za maisha kuliko darMtoa mada ungemalizia "Na ukiweza kuish dar na ukatoboa wewe n mwanaume"
Sehem inayohtaj nguvu ili uish inamaana utumie nguvu na ili utoboe/ufanikiwe utumie nguvu zaid, sehem inayohtaj akili ili uish inamaana uttumie akili na ili utoboe/ufanikiwe utumie akili zaid, hapa ndo utamkumbuka Darwin na theory zake huko Galapagos island.
Hapa ukibug au ukijitia mbish ku obey laws ndo yale ya kusumbuana michango ya kusafrisha maiti au kuzkwa na manispaa,
Naomb radh kama hukufrahshwa na lugha iliyotumika.
Mkuu kwan tunajadili au tunashindana ! Mi nime muunga mkono tu mtoa mada , ambaye kimantiki hoja yake imejikita kwenye majority ya watu wa dar , kuna wachache kama wewe ambao pengine Dar mnaimudu.Sasa ndo useme Dar Kwa watu wa Aina yako ndo inawapotezea muda sio Kila mtu inampotezea muda.Kuna watu inawapotezea muda na kuna watu haiwapotezi muda.Isiwe general kuwa Kila mtu inampotezea muda.Sema baadhi ya watu
It's not true my dear, mikoa michache sana labda. Kwa sasa vijana wameamka, ndio maana wengi wa mjini wanaona aibu kurudi mkoa maana alikua na sifa za 'naishi Dar' ila akirudi mkoa kusalimia anashangaa kwa namna alivyo nyuma kiuchumia, kwa hiyo kurudi tena mtihani.Ukiegemea kwenye hesabu za probability, uwezekano wa kutoboa ukiwa Dar ni mkubwa kuliko mkoani. Magari na majumba mazuri yako Dar. Mkoani mtu anayetembelea shangingi ni mkuu wa mkoa pekee, whats ur chance of getting one?
Duh...kwahio huko mkoani wote mnaishi maisha kama peponi? Hebu tafuta ripori ya NBS ujionee.Wauza mayai hao , we unaishi kwa mfuga mbwa halafu unajifananisha na wa mkoani , shenzi sana hawa
Kwa mujibu wa NBS wakazi wa Dar asilimia kubwa wana unafuu wa maisha kulinganisha na mikoa yote Tanzania. Hizi ni takwimu hizo nyingine ni porojo tu na ndio maana watu wanaongoza kukimbilia Dar na si kinyume chake.Mkuu kwan tunajadili au tunashindana ! Mi nime muunga mkono tu mtoa mada , ambaye kimantiki hoja yake imejikita kwenye majority ya watu wa dar , kuna wachache kama wewe ambao pengine Dar mnaimudu.
Maendeleo ya watu na vipato vyao, Mara nyingi yana structure ya pyramid ! yaan chini ni wengi , na juu ni wachache , unatakiwa utafute pyramid fupi ili uweze kuwa juu haraka ,
Siyo kwamba Mwanza hakuna Sehemu za changanyikeni,naamini zipo.Tofauti ni population,sehemu yenye population kubwa haiwezi lingana na sehemu population ndogo.Ndiyo maana unalinganisha Tandale tu lkn hujaweza kwenda linganisha zile zenye ubora za Dar maana unajua kabisa kuwa Mwanza itakuwa nyuma.Igogo,Mabaytini,Nyanshana,Iseni,Nyakato Sokoni, ni kwa kisasa Kwa kadiri yako.Unapolinganisha Kwa ubaya linganisha na Kwa uzuri pia.Ni kama mimi niseme Kijijini kwetu hakuna sehemu ya Changanyikeni kama Tandale,sasa itakwepoje wakati kule ni kijijini? Huko Tandale unakokuona Uswahilini ndio sehemu expensive zijazo,Lakini mbona unakimbia swali langu we mzee wa Tandale ?, nionyeshe maeneo ya ovyo ya Mwanza , we si ulikuwa unajitia mjuzi ?
Dar nalo jiji kwani vinyesi kurandaranda juu ya barabara na uchafu ndo mnaona sifa eti ?
Hebu angalia hiyo kariakoo ilivyo ovyo kabisa mvua ikinyesha kidogo tu ni disaster , uchafu kwenda mbele
Maisha hayana formula moja mkuu.Kuna mwingine yupo Dar katoboa kuna mwingine yupo nje ya Dar katoboa Kila mtu na sehemu yake ya kutoboa.Dar kuna maskini wengi tu wa kutupwa mikoa mingine pia kuna maskini wengi tu.Kila mtu ana sehemu inayomfavor kuishiHakika umesema ya kweli, nilikaa miaka 8 bila bila, kodi, usafiri, chakula, kuamka na kurudi mida mibovu, joto lisilo rafiki na mtu. Ila tangu ning'atuke nashukuru kwamba maisha haya ya sasa ningeishia kuyaona kwa wengine tu! Sitaki kusema nina nini na nini, ila amini kuacha maisha ya Dar na kuamua kuja mkoa, hakuna hata rafiki aliye kubaliana nami, sasa 'gap' halizibiki tena labda awe fisadi tu! Ukweli mchungu, ila watu ambao tuliwaacha mikoani ndo huja mara nyingi kununua magari huku sisi tuliokua wa 'mjini' tunawakwepa. Mwenye macho haambiwi tazama.
Hahahaha hawanywi soda maana nimetoka zangu Daslama nikaa nataka nipeleke mashine ya kutengeneza juice ya miwa maana miwa ya 1000 ni mingi sana, native wa kule akaniambia hizo biashara zako za mjini ushawahi ona mtu anaenda dukani kununua soda? Hahahaha nitafakari ikawa kweli daahhawanywi soda
True chance ya kufanikiwa haipo sehemu moja tuHapa ni uongo . Inategemea mkoa gani . Mikoa kama arusha matajiri wanatembelea magar ya bei mbaya kuliko hata ya serikali na si moja. Yako mengi.
Labda hiko mikoa simiyu huko ndani ndani.
Chance ya kufanikiwa haipo dar tu bali iko sehemu yoyote utayoenda ishi. Mipango yako , nanidhamu ya muda vitwkufikisha mbali
Tuache kudanganyana,kila mtu ana sehemu yake ya kutoboa na hiyo sehemu haipo common Kwa Kila mtu.It's not true my dear, mikoa michache sana labda. Kwa sasa vijana wameamka, ndio maana wengi wa mjini wanaona aibu kurudi mkoa maana alikua na sifa za 'naishi Dar' ila akirudi mkoa kusalimia anashangaa kwa namna alivyo nyuma kiuchumia, kwa hiyo kurudi tena mtihani.
Sitapingana na hilo, kikubwa ni kuangalia ni aina gani ya shughuli unataka kufanya, ni maisha ya aina gani unataka kuishi, kama ndivyo hiyo uliyopo ni sehemu sahihi kwako? Kama utaweza kuyatawala mazingira na kuwa huru bila shaka kambi popote.Maisha hayana formula moja mkuu.Kuna mwingine yupo Dar katoboa kuna mwingine yupo nje ya Dar katoboa Kila mtu na sehemu yake ya kutoboa.Dar kuna maskini wengi tu wa kutupwa mikoa mingine pia kuna maskini wengi tu.Kila mtu ana sehemu inayomfavor kuishi