Acheni upotoshaji na kuongea kwa kukariri,hivi unazijua systems za hayo maeneo unayoyataja?Nimewaambia hivyo hivyo hapo nyuma naona wakawa kimya
Ishu sio Dar sehemu yeyote ile usipokuwa makini unazeeka huna kitu.Au unaweza kuzeeka ukiwa na nyumba tu Basi"Nimesema lazima uzeeke huna kitu" yaani mpaka unafika uzee usipokuwa makini huna hata pakuweka ubavu sijamaanisha kuwa utazeeka kwa shida ya kutafuta dar maana pesa zipo kila sehemu tatizo dar kila kitu cha kununua na gharama kubwa
Kila sehemu inachangamoto zake,hakuna sehemu mteremko,Dar ina mchanganyiko wa watu wote na mikoa mingine ina mchanganyiko wa watu wote.Lakini mwisho wa siku watu wanamiminika kwenye sehemu yenye fursa.Acheni upotoshaji na kuongea kwa kukariri,hivi unazijua systems za hayo maeneo unayoyataja?
huko hakuna ujanja ujanja,wala miundombinu yake sio mibovu kama ya hicho kijiji kikubwa,kule unafika mishe kwa wakati na kazi zinafanywa kwa kupata trainings,tena unaweza hata kufanya kazi mbili sehemu mbili tofauti bila shida,na si kazi zenu za viwandani,unamenyeka nguvu zako afu unalipwa elfu nne kwa siku afu unakuja kutamba hapa kuwa nipo dar napambana,huo ndio ujinga alioukataa mleta uzi,hana chuki na mtu,anajaribu kushare mazuri na tofauti aliyoi`experience baada ya kutoka dar,mtu unapoteza masaa 4 upo barabarani unaenda kibaruani,kibarua kisicho hata na tija zaidi ya kununua tecno na kuja kupost utumbo hapa,kinachozungumzwa na mtoa mada si kwamba mikoani ndio kila mtu kafanikiwa,ila anazungumzia possibility ya mafanikio mkoani ni kubwa kwa mtu mwenye nia ya kusogea mbele kimaisha ukilinganisha na nyie msio na cha maana mnachokifanya hapo zaidi ya kujipa matumaini ya kutoboa kisa magari mazuri yapo Dar,nimesikitishwa kuona kuna watu bado mnapima maendeleo kwa kuangalia majumba na magari bila kujipima maisha yenu binafsi yana unafuu gani kwako na kwa familia yako directly,hao wenye magari mazuri na nyumba nzuri wewe unanufaika nao vipi?ni aibu kwa mwanaume kuwa na fikra mfu kiasi hicho,toa hoja za kujenga mkuu...shame!
Teh teh teh Na Bado,wataondoka sana halafu watakuja kujifariji hapa.Mtoa mada karudisha mpira Kwa golikipa na hajasema yupo mkoa gani Kwa sasaDah...hili mkulu alilisemea mapema sana.....
"Watakao baki Dar ndiyo wanaume.....[emoji41]
Takwimu hizo zimeangalia nini zaidi?....wakati huku mikoani tunapata fresh air, kuna mipango miji nyumba hazijakaliana, chakula cha kutosha wakati Dar hali ya hewa mbaaya joto Kali ukiwa na chumba huko mitaani mchana huwezi kupumzika, nyumba zimekaliana, foleni za magari na makelele ya honi shida tupu dar hata ukiwa na helaKwahio huko mikoani wote matajiri? Takwimu zimeonesha Dar ndio kuna nafuu ya maisha na huko mikoani hali ni mbaya sana.
Sikuwa vizuri kwenye hesabu, lakini umesema UNAPATA 100, UNATUMIA 95 UNABAKI NA 5.Sijasema 95% soma tena mkuu
Zipo humu jf tafuta au wasiliana na NBS.Takwimu hizo zimeangalia nini zaidi?....wakati huku mikoani tunapata fresh air, kuna mipango miji nyumba hazijakaliana, chakula cha kutosha wakati Dar hali ya hewa mbaaya joto Kali ukiwa na chumba huko mitaani mchana huwezi kupumzika, nyumba zimekaliana, foleni za magari na makelele ya honi shida tupu dar hata ukiwa na hela
Sema mkoa uliorudi na ulifanya nini cha maanaNimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Sawa Mzee baba ngoja nikupe mfano mtu anafanya kazi kiwandani bakhresa analipwa elfu 8 kwa siku,,,nauli kwa siku 1000 kwenda na kurudi,chakula amejibana ametumia 2000 kutwa nzima akiwa kazini mpaka hapo kabaki na elfu 5..Home kuna kula pia,kodi,umeme,maji hajaumwa na bado hajavaaSikuwa vizuri kwenye hesabu, lakini umesema UNAPATA 100, UNATUMIA 95 UNABAKI NA 5.
Turudi kwenye hesabu.
100-95=5
95/100=95%
5/100=5%
Acha zako mkuu usitufanye mazuzu humu mimi nimekaa Dar miaka mingi , Tandale zile ni nyumba au slums we jamaa muongo sana , mitaa michafu , plan ya ovyo kabisa na kwa taarifa yako Dar es Salaam maeneo yaliyo staarabika ni machache mno mengi yapo nje ya mji asilimia 70 ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye slums halafu nao wanatunisha mabega eti mi wa Dar , nonsense kabisa mwambie akuoneshe anapokaa sasa .......ptuuuNinyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Ulishawahi jiuliza hizo hela zinatoshajeSawa Mzee baba ngoja nikupe mfano mtu anafanya kazi kiwandani bakhresa analipwa elfu 8 kwa siku,,,nauli kwa siku 1000 kwenda na kurudi,chakula amejibana ametumia 2000 kutwa nzima akiwa kazini mpaka hapo kabaki na elfu 5..Home kuna kula pia,kodi,umeme,maji hajaumwa na bado hajavaa
Nionyeshe mkoa ambao watu wake wanaishi maisha matamu nikuoneshe saiti zenye dhiki katika mkoa huo.Acha zako mkuu usitufanye mazuzu humu mimi nimekaa Dar miaka mingi , Tandale zile ni nyumba au slums we jamaa muongo sana , mitaa michafu , plan ya ovyo kabisa na kwa taarifa yako Dar es Salaam maeneo yaliyo staarabika ni machache mno mengi yapo nje ya mji asilimia 70 ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye slums halafu nao wanatunisha mabega eti mi wa Dar , nonsense kabisa mwambie akuoneshe anapokaa sasa .......ptuuu
Nyie watu ni arrogant sana ila wengi wenu mnaishi maisha ya taabu sana
Nimekuuliza tu hio takwimu yako umeipata wapi? Ukinipa mfano wa huyo kibarua ndio unawakilisha wakazi wote wa Dar? Ni sawa na mtu atumie mfano wa Bakhressa kusema Dar au Tz watu wanamaisha mazuri sana.Sawa Mzee baba ngoja nikupe mfano mtu anafanya kazi kiwandani bakhresa analipwa elfu 8 kwa siku,,,nauli kwa siku 1000 kwenda na kurudi,chakula amejibana ametumia 2000 kutwa nzima akiwa kazini mpaka hapo kabaki na elfu 5..Home kuna kula pia,kodi,umeme,maji hajaumwa na bado hajavaa
Wauza mayai hao , we unaishi kwa mfuga mbwa halafu unajifananisha na wa mkoani , shenzi sana hawaMajitu ya Dar bhana!
Yaani tajiri namba moja inakuhusu nini wewe unayeishi Gongo la Mboto?
Viwanja vikali wakati unalala sebuleni kwa shemeji yako inakusaidia nin?
Mikoa hatuwasalimii shemeji zetu.....wanaume wa Dar wanagongea sigara kwa shemeji zao!