Dar inawapotezea watu muda

Upo sahihi kabisa. Mwalimu wa shule ya msing dar anayepata level sawa ya mshahara na aliyeko sumbawanga, anazidiwa kwa maendeleo 79% na alteko kijijinn
 
You make a hell of a Point.

Watu wanaosema mikoani kumewatoa kumbe wametumia exposure walioipata dar huko walipo.
 
Hayo ndo maendeleo kwa nyie wa mikoani.
 
Duh!
 
Dsm una takiwa kuwa na michongo ya uhakika sio ku unga unga tu bola liende uta feli, Mwana FA alisha waambia mjini sio kuzuri [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uzi huu umenikata maini, umenifanya niumwe tumbo, umenifanya niwaze miaka kumi iliyopita ningekuwa mkoani ningekuwa wapi. Hata hivyo nimeshajenga, cha msingi sio kuendelea kung'ang'ania kuishi hata kwenye nyumba yangu ni upuuzi. Nilivyohamishiwa dodoma kikazi nimepangisha kamjengo kangu, na sifikirii kukaa maana ndani ya nyumba ni ngarama tupu. Taja chochote kile ni hela, maji ya kunywa, maji ya kuoga, maji ya kupikia, maji ya kufulia, maji ya wsshroom, maji ya chochote kile ni hela. kama umepanga ndio balaa, kama unaishi kwenye nyuba yako, umeme, maji, chakula, uchafu/takataka, kila kitu lazima hela itakutoka.



Huu uzi ungekaa kweny bulletin ..dar es salaam niya kupungua maana ni gharama zisizo za maana.
 
Mkuu kaama nataka kukuelewa vilee
 
Maneno kuntu
 
Yes angalua ww nmekuelewa mkuu haukuegemea sehem yoyote yaaani upo katikati kwamba kila mtu anaalipoamua au chagua kuishi ili afanikiwe sasa ww ukiona dar au mikoani hayo ni maamzi yako binafsi fanya unachoamiini na sio kushinikizwa na mtu..kwa iyo tusichaguliane pa kuishi .
 
kuna wengine wanapaita dar kuwa ndo tanzania sababu rais yupo hapo, balozi na wizara.sasa wote wanahamia kwetu dodoma cjui mtapaitaje tena
 
Hiyo ya kujenga wala siyo guarantee kuwa utakuwa na maisha mazuri dar, Binafsi nimeacha nyumba tatu hapo mjini , canter tani tatu mbili, zikiwauzia maji wazee wa jiji, pamoja na shamba mpiji magoe , nasema Shamba ili Ku send signals kuwa hapo watu wanapoita kwa wajanja mi nnaeza kuja kulima Dar siku moja
 
MJINI KAZI NA KUJITUMA NDIO KANUNI...MJINI HAKUNA UJAMAA SO HAKUNA KUTEGEMEANA NDIO MAANA WAKAIMBA NA NYIMBO....USIJE MJINI
 
Ww kaa huko lima tuletee chakula tununue tule fools top
 
Kikubwa nikionacho hapa ni mitaji na uwezo wa kuona fursa.....issue sio unaishi mahali gani.....kuna watu wanaishi Dar wana mashamba makubwa tu mikoani magari ya usafirishaji nk....na kuna watu wanaishi mikoani wana asset nyingi tu Dar.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…