Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,698
- 11,297
Jamaa wanajifariji kweli wanahisi mkoani Kila mtu katoboa wakati sehemu kibao watu wanachangia maji/Dimbwi na Ng'ombe.Duh...kwahio huko mkoani wote mnaishi maisha kama peponi? Hebu tafuta ripori ya NBS ujionee.
Na Kwa wale waliokuwa wanasikiliza vizuri walimu wao darasani kwenye topic ya migration moja ya sababu kubwa ya migration. Ni watu kutafuta unafuu wa maisha na huduma za binadamu Sasa tujiulize watu wanamigrate kwenda wapi sanasana,kama sio kuja Dar?Kwa mujibu wa NBS wakazi wa Dar asilimia kubwa wana unafuu wa maisha kulinganisha na mikoa yote Tanzania. Hizi ni takwimu hizo nyingine ni porojo tu na ndio maana watu wanaongoza kukimbilia Dar na si kinyume chake.
Sijasema wote, ila wengi wao. Cha msingi fanya unachopenda utafanikiwa, yatawale mazingira uliyopo.Tuache kudanganyana,kila mtu ana sehemu yake ya kutoboa na hiyo sehemu haipo common Kwa Kila mtu.
Hamia Dodoma mkuu panabambaNa mimi nataka nihame Dar
Theories.Sijasema wote, ila wengi wao. Cha msingi fanya unachopenda utafanikiwa, yatawale mazingira uliyopo.
Watu kibao wamehamishiwa Dodoma wanalia utafikiri wamepelekwa kambi ya wakimbizi Ngara!Hamia Dodoma mkuu panabamba
Hiyo ndo point kuwa maisha ni popote ambapo wewe unaona unapamudu.Dar kuna matajiri Dar kuna maskini Dar kuna Raha Dar kuna shida zote.Dar pa rahisi Dar pagumu pia,kazi kichwani mwako.Hiyo mikoa ambayo maisha ni mepesi sehemu zote kuzuri tu na kufanikiwa nje nje sijui ni ipiSijasema wote, ila wengi wao. Cha msingi fanya unachopenda utafanikiwa, yatawale mazingira uliyopo.
Teh teh teh teh samaki kapelekwa nchi kavuWatu kibao wamehamishiwa Dodoma wanalia utafikiri wamepelekwa kambi ya wakimbizi Ngara!
Ukijua kwann maisha ya huko ulipo yamekuwa rahisi utakuja na mrejesho wa kuishukuru Dar kwa kukupa elimu ya miaka mitatuNimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Yawezekana zikawa theories, ila naamini ukifanya unachopenda si rahisi kuanguka, hata ikitokea ni rahisi kusimama tena.Theories.
Kwenye kutafuta kuna hitaji kujitoa mhangaHapa tunachanganya vitu viwili kwa wakati mmoja,,mtu anayetafuta maisha DAR,,wakati huo huo wazazi wake wanamijengo dar,,na mtu anayetoka mkoani,,kuja kutafuta,,,,huku wazazi wake wakiwa hawana asset yoyote dar,,hapo kuna tofauti kubwa ya maumivu yautafutaji,,,,,,chamsingi,,nikutokukata tamaaa,,maisha kokote
Wachache sana wamebahatika kufanya wanachopenda.Yawezekana zikawa theories, ila naamini ukifanya unachopenda si rahisi kuanguka, hata ikitokea ni rahisi kusimama tena.
Dar chuo kikuuUkijua kwann maisha ya huko ulipo yamekuwa rahisi utakuja na mrejesho wa kuishukuru Dar kwa kukupa elimu ya miaka mitatu
Hyo ripoti waifanye na mwaka huu!! Inaweza kuwa vice versaKwa mujibu wa NBS wakazi wa Dar asilimia kubwa wana unafuu wa maisha kulinganisha na mikoa yote Tanzania. Hizi ni takwimu hizo nyingine ni porojo tu na ndio maana watu wanaongoza kukimbilia Dar na si kinyume chake.
Kuna kipi kimefanyika kitakachobadili hali iliokuwa mwaka jana na leo? Mabadiliko huwa madogo sana.Hyo ripoti waifanye na mwaka huu!! Inaweza kuwa vice versa
Hahahaaa eti sehemu expensive zijazo , a hell on Earth !Siyo kwamba Mwanza hakuna Sehemu za changanyikeni,naamini zipo.Tofauti ni population,sehemu yenye population kubwa haiwezi lingana na sehemu population ndogo.Ndiyo maana unalinganisha Tandale tu lkn hujaweza kwenda linganisha zile zenye ubora za Dar maana unajua kabisa kuwa Mwanza itakuwa nyuma.Igogo,Mabaytini,Nyanshana,Iseni,Nyakato Sokoni, ni kwa kisasa Kwa kadiri yako.Unapolinganisha Kwa ubaya linganisha na Kwa uzuri pia.Ni kama mimi niseme Kijijini kwetu hakuna sehemu ya Changanyikeni kama Tandale,sasa itakwepoje wakati kule ni kijijini? Huko Tandale unakokuona Uswahilini ndio sehemu expensive zijazo,