Dar ina majengo matamu sana

Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije

Oooooooh haya bwana ...usije ukaishia Mabwepande...Bunju ni karibu na Mabwepande..tehtehtehtehteh
 
Dada yangu kuwa makini, usije ukawa uksrimu wa ulimbo huu, wanakuvutia wakusharabu.. funzadume jamaa yangu ni paukwa pakawa..

Njoo kigamboni umsalimie mama yetu.
Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
 
Mmetuharibia Uzi wahuni nyie na hilo zigo lenu hata halieleweki , itabidi tuwapige ban😁😁😁
 
Dada yangu kuwa makini, usije ukawa uksrimu wa ulimbo huu, wanakuvutia wakusharabu.. funzadume jamaa yangu ni paukwa pakawa..

Njoo kigamboni umsalimie mama yetu.
Kwema kaka za masiku mengi nikija dar takuwa na kazi kubwa ya kumitembelea munitembeze basi
 
Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
Aiseee ulijua ni kweli kumbe
 
Kwema kaka za masiku mengi nikija dar takuwa na kazi kubwa ya kumitembelea munitembeze basi
Alhamdulillah, kwema dada Allah anajaalia, karibu sana dada, madhari nipo nduguyo hakiharibiki kitu ndugu yangu.
 
Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
Hahaa!! Mzee mwenzangu sikubanii riziki, ila huyu ni dada yangu, nahofia utatumia zile silaha zetu zile umkafue dada yangu halafu akugande[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Anaonekana mjanja mjanja huyo dada yako ha ha ha
 
Hivi lile jengo ndefu baada ya la mawasiliano ni la nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…