Dar ina majengo matamu sana

Unaruka jivu unaenda kukanyaga moto. Mwananyamala na Bunju ni kama kufananisha USA na Sudani Kusini
Njoo kwangu kwanza kule mwananyamala utaenda ukitoka kwangu
Alaaaa kumbe bunju ni pazuri sana tatizo nikija nahamia mazim sasa
 
Twende bana uliahidi kuninunulia na mashahidi walikuwako twende kule tu
Tatizo unapenda sana anasa za dunia. Nlitaka nikuhonge IST we unataka BMW... kwanini lakini @ukhuty
 
Alaaaa kumbe bunju ni pazuri sana tatizo nikija nahamia mazim sasa
Njoo tu kama noma na iwe noma. Ila nguo uje nazo ulizovaa tu nyingine nitakununulia huku huku
 
Mawasiliano Tower Alias Mjengoni au Simu 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…