mkuu dawa ya mchepuko ni kuchepuka mara tatu,ila tumia helmetiiKwanza wachepukaji,wasaliti na wanacheat yaani kama wa masaki basi tamaa,kamaa wa uswahili basi njaa mtindo mmoja,wachepukaji wamejaa jiji la dar es salaam.
Wadau tuoe mikoani dar hawafai.
Na ukimleta Dar ndio tatizo limekwisha au?Uaminifu ni tabia unayozaliwa nayo ingawa miji mikubwa ina vishawishi zaidi.
sio bure ushalizwa na watoto wa mujini hahahaaa chezeya watoto wa mjini!!!!!!!!!!!!!!!! kila mtu na tabia yake bana inategemea umekutana na wa aina gani kumbuka kila mwanamke ni wife material ila inategemea unahitaji material gani
Hakuna anayezaliwa mwizi watu wote tunazaliwa tukiwa wasafi wa moyo. Tabia mbaya tunajifunza.
ha!kwa hiyo tukawaoe kijijini na sisi tuhamie huko hukoukimleta dar watamharibu,dar watu hawafai