Dar hamna wanawake wa kuoa, wapo wachumia tumbo

Dar hamna wanawake wa kuoa, wapo wachumia tumbo

Mkuu mm naona kote majanga tu coz wa mkoani ukimleta dar akishalijua jiji vzur anakuwa mbwea utagongewa mpk ukome ni heri uchukue hapa hapa isipokuwa wew inabid umtriti kwa akili sana mana awa watu ni wadhaifu sana coz ata bible inasema muishi na wanawake zenu kwa akili so mwanaume akili kumkichwa
 
Kuna watu wanazaliwa na mapungufu mbalimbali yanayoadhiri mwenendo wao wa maisha. Chukulia mfano wivu au husuda mtu anajifunza? Mtu anapoamua kutokuwa mwaminifu ni tabia yake aliyonayo hajifunzi kutokuwa mwaminifu. Mzazi anakuwa na watoto wengi waliopata malezi sawa na kati yao wakatokea waongo,wezi, wasema ukweli,wakarimu na kadhalika.

Human behaviour is believed to be influenced by the endocrine system and the nervous system.
It is most commonly believed that complexity in the behaviour of an organism is correlated to the complexity of its nervous system.
 
Dsm wanawake wote weupe hahahhahaahahahahah dsm mji wa maajabu

ukioa dsm umejitia kitanzi...... Unaweza oa mwanamke aliyeolewa bila kujua
 
Dsm we acha tu•ukioa dar au sehemu yeyote waza maendeleo yako usimuaze na wala asikuumize kichwa mwanamke”akiamua kuchapwa nao hata ufanyeje watamchapa nao labda umtege kama wafanyavyo watu wengine wa mikoani ukigonga tu mkewe mmenasiana”labda hiyo ndo suluhu
 
Kwanza wachepukaji,wasaliti na wanacheat yaani kama wa masaki basi tamaa,kamaa wa uswahili basi njaa mtindo mmoja,wachepukaji wamejaa jiji la dar es salaam.


Wadau tuoe mikoani dar hawafai.

Upande wa pili ukoje? yaani waoaji?
 
Naunga mkono hoja asilimia mia wengi ni wasaka tonge.
mkuu mi hiyo sikubali...watakaobaki dar watafaidi sana maana magoma yatakuwa mengi zaidi yao...kaoeni mi nabaki na wa dar!
 
sisi tuliotoka town tukifika kijijini tunagombaniwa na warembo wa kijiji
mkuu kwa nini nikaanze kumfundisha mtu wakati magume gume ya mjini yapo...huko bush tafadhari hapa!!
 
Back
Top Bottom