Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Ngoja nimsake dadaako mmoja aisee wana roho nzuri sana hao!
Nitakupa mmoja mkuu wasikutishe watu
wako poa sana sana mipango ina pangika ndio wana ongoza kwa kusukuma ndinga kali na cash hapa town kwa wingi?
ila na kabila zingine wapo pia ni swala la kuchagua tu!
ila Dada zangu Number 1!
usi wazinguwe kama ni mipango ya kando kapigie mbali kabisa na nyumbani kuanzia 50km adi 100km alafu usirudi na mirangi rangi na mipoda kwenye shati pata chimbika maana ndio kesi nyingi zinapo aziaga 😂
maliza mambo yako usiwe na haraka jikaguwe kwenye kioo alafu uwe unatembea na Chana kwenye gari una chana nywele zako una rudi home ukiwa poa na ukifika achana na biashara za kusema umechoka kesi huanzia apo shemeji umesikia Bwashee!
nitakupa somo wasikutishe!
 
Dada zangu bana wana vurugwa wakisikia tu rafiki yake Kaole na yeye ata taka kuolewa ata kwa kuonga mali za uridhi alizo achiwa ilimradi tu atulize moyo wake kumbe wapi mnawapiga Pesa bila huruma mamaeee
Mkuu wata kuja kuwazingua mkiwazingua sisi tuna semaga kwani mlipo kutanaga sisi tuna juwa mliongeaga nini Babaangu?
Na nikuulize uyu bint ulivyo kutana naye alikuwa ana shida ya chakula au sehemu ya kulala?
Na lengo lako au lenu ilikuwa kugombana!?
kama ni hapana na sisi hatuna uwezo wa kusuluhisha huyu kitanda chake bado kipo muache kwanza we nenda akiwa sawa ata kutafuta!!?
kama ni wajukuu babaangu tuta kusaidia kusomesha wala usiwe na wasi wasi!
ukiondoka tuna mwambia Manka ishi, ishi, mwenyewe pesa ya kula tutakupatia na mtaji kidogo mama!
fikiria ukiona hapana rudi aka kuuwe
Hahaha ndo ilivyo kiuhalisia. Vitanda vyetu havijawahi hama aisee. Tunarudigi vzr tu
 
Her levels of anger were extremely high without thinking the consequences of her actions
Siku zote kwenye mahusiano mkishazinguana
Ukiona msha hadi kuchukiana bora muachane,msirudi nyuma sijui mrudiane
Nimefatilia kisa cha huyu jamaa inaelekea alishamkata hyu mwanamke
Sasa mwanamke alipopata nafasi ya kumvuta jamaa ili awe naye na jamaa akaingia kwenye 18
Mwanamke akafanya yake.....

Ova
 
Niliwahi kuachana na mpenzi niliyempenda sana, alipotendwa huko alikokwenda alirudi, niliamua kurudisha moyo lakini sikuweza, haikua kama vile tena.
 
Niliwahi kuachana na mpenzi niliyempenda sana, alipotendwa huko alikokwenda alirudi, niliamua kurudisha moyo lakini sikuweza, haikua kama vile tena.
Hutakiwi urudi nyuma
Siku zote kwenye mahusiano
Ndoa,mapenzi mkiona hamuelewani
Bora muachane,muishinde moyo

Kuachanq syo mwisho wa dunia,lazima maisha yaendele
Mambo ya kupigana kuumizana ni ushamba
Mimi mwanamke aliponambia anataka dvrc nkamwambia poa tu.....huwezi kulazimisha au kumlazimisha mtu arudishe upendo

Ova
 
Siku zote kwenye mahusiano mkishazinguana
Ukiona msha hadi kuchukiana bora muachane,msirudi nyuma sijui mrudiane
Nimefatilia kisa cha huyu jamaa inaelekea alishamkata hyu mwanamke
Sasa mwanamke alipopata nafasi ya kumvuta jamaa ili awe naye na jamaa akaingia kwenye 18
Mwanamke akafanya yake.....

Ova

Sio kila ex akitaka kurudi anakua anakupenda, wengine wanakua hawajamalizana na wewe vizuri, anakulia timing ili aku fix vizuri. an ex should be an ex. Haya mambo ya kumisiana ni utoto tu
 
Nitakupa mmoja mkuu wasikutishe watu
wako poa sana sana mipango ina pangika ndio wana ongoza kwa kusukuma ndinga kali na cash hapa town kwa wingi?
ila na kabila zingine wapo pia ni swala la kuchagua tu!
ila Dada zangu Number 1!
usi wazinguwe kama ni mipango ya kando kapigie mbali kabisa na nyumbani kuanzia 50km adi 100km alafu usirudi na mirangi rangi na mipoda kwenye shati pata chimbika maana ndio kesi nyingi zinapo aziaga 😂
maliza mambo yako usiwe na haraka jikaguwe kwenye kioo alafu uwe unatembea na Chana kwenye gari una chana nywele zako una rudi home ukiwa poa na ukifika achana na biashara za kusema umechoka kesi huanzia apo shemeji umesikia Bwashee!
nitakupa somo wasikutishe!
Hahahah itabidi tuunde undugu
 
Hahahah itabidi tuunde undugu
karibu sana Bwashee huwa sisi tuna penda ma Bwashee wetu sana aisee kama hauna mtaji tuta kupa mtaji ila ujuwe pesa ya matumizi sio mtaji!!
ukila mtaji mara 2 tuna kuchukia wewe na sio wajomba zetu yani watoto wako tuta wapenda ila utaachana na dada yetu bila kutaka!
akuna kitu wazee wa wachaga wana penda kama kuwa na wakwe! wata kusaidia sana nijuwavyo maana wana wapenda watoto wa kike sana sana!
 
Mtuleteage na muendelezo wa hizi kesi! Hawa watuhumiwa wanahukumiwa au ndo hukumu tunaitoa tu humu mitandaoni basi.

Hizo hasira ni za kijinga sana, now days wadada wamechachamaa kweli kuua wenza wao.
Yaani ni kuwaua tu watu wamechoka upuuzi
 
Sio kila ex akitaka kurudi anakua anakupenda, wengine wanakua hawajamalizana na wewe vizuri, anakulia timing ili aku fix vizuri. an ex should be an ex. Haya mambo ya kumisiana ni utoto tu
Kweli kabisa

Hahaha akirud anakumaliza vzr kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom