Dar express anafilisika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar express anafilisika?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by blessings, Oct 21, 2012.

 1. b

  blessings JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,068
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Nataka kujua kama huyu Tajiri wa Kichaga kama anafilisika ama la maana kila uchwao anachemsha mara ajali mara moto funga kazi ni huduma mbovu kwenye gari zake, booking office zake (SHEKILANGO, UBUNGO,KINONDONI na pale KISUTU si kwa uchafu/mandhari wala kauli la wahudumu zake na hotelini kwake. Asipobadilika anapotea kwenye game kama mwenzake METRO/MSAE.
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu, pia magari yanaharibika ovyo njiani.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hameni....magari yapo mengi....Unasema Metro......umeiona siku za karibuni kweli.......? kuna Kilimanjaro pia....jaribuni hiyo.....mifanyakazi ya Dar express in nyodo sana......
   
 4. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kila lenye mwanzo lina mwisho mkuu.. Kilimanjaro n Mtei yanahusika sana siku hizi

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Uchafu na kufilisika ni vitu viwili tofauti! Dar express ana scania Marcopolo.Irizar pamoja na Benzi hana Mchina(yutong)
   
 6. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mke wangu kanipigia simu yuko njiani kuelekea Dar akitokea Arusha...Kaondoka na Dar Express ya saa 4 kamili lakini anasema " Dad nimehuzunika sana kwani katika ticket wameandika saa 4 kamili, ila basi limeondoka saa tano na robo" huu ni ujumbe wa kweli na na akaendelea" Dad unajua nitafika Dar usiku, nampigia Vanessa aje kunichukua pale Ubungo. Gari lenyewe chafu, Lugha ya yule dada pale ofisini pia ilikuwa harsh imeniondolea mood". Nikampigia na kumtakia safari njema yenye uvumilivu na amani na maneno kidogo ya kimapenzi ili afarijike zaidi.... Kwa meseji hii ya leo kweli Dar Exp hawako vizuri. Ila nikalaumu rohoni kidogo...."kwanini asichague gari zuri, kwanini hakufanya online booking ya precision air ili asichoke sana...kuona tu wakwe?....atarudi lini? atakuwa salama? hajapoteza passport yake (hati ya kusafiria).........ni hii story ya usafiri kafiri na kwa kuwa imetokea kwa "my other half".
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ha ha ha.....mkuu umenipa raha sana hapo kwenye blue......mahali uliponiacha hoi kabisa ni hapo kwenye red........hivi siku hizi Dar tunaenda na pasi ya kusafiria........chinekeeee oooooo......
   
 8. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Preta, Pasi ya kusafiria kurudi nyumbani kwani nina wasiwasi kama kapoteza pasi yake huko sasa atarudije nyumbani? si hadi aende tena kuanza process Uhamiaji...na mimi sijui itachukua siku ngapi...mimi wakati nachukua yangu niliisubiri kwa mwezi mmoja na nusu tena hapo nikaambiwa eti imewahi sana.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Ntakuitia natalia sasa hivi na wewe. Sasa kama wanaishi ulaya na walishakuwa raia wa huko? Wakija huku si wanatumia.passport kubook air tickets. Huna hata boifrendi kuli wa swisport akupe hadithi mamito? Unalo hilo, hebu mfariji kakako manake mkewe kahuzunika nae kadhalika.
   
 10. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya sasa ujumbe mwingine huu hapa Preta "dad siioni tena Same, tumeshaiacha" huu ujumbe mbona mfupi namna hii?haya ndo mambo ya Dar Express. Leo naijadili kwani inanihusu.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  acha kunivunja mbavu bana........hapa tunaongelea safari ya wapi kwenda wapi...? na mbona sioni mahali palipoelezea au taarifa inayosema Dar Express imesababisha abiria kupoteza mizigo. he he he he.....kweli leo Jumapili.......
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hi hi hi......hii najua ni hasira inakupata kwa sababu huna pasi ya kusafiri........wahi uhamiaji....ni haki yako.......na ukishaipata uwe unapanda Ndege.....sio utusumbue.....unaona sasa wifi haioni Same.....?
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nyie kwani kwenu wapi........?
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ha!...mara moja hii....au wamepitia njia ya Bumbuli......?
   
 15. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Njia ya muongo fupi!!!
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kamata Kilimanjaro baba hutajuta!!
   
 17. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenisaidia sana kwa Preta kwani nilikuwa nafikiria jinsi ya kufunguka kwake kuhusu tunakoishi...Lazima uwe tu na hati ya kusafiria, tena pembeni ya visa kwenye hati zetu za kusafiria pamegongwa muhuri wenye lakiri ya platinum iliyofifia kidogo, "MARRIED" kila unaposafiri inajulikana umeoa/olewa.

  Namkumbuka Mbunge na Waziri mmoja mwenye nguvu sana kule Swaziland alisema "wote wenye VVU wagongwe muhuri fulani kwenye makalio yake ili kila anaytaka kufanya tendo la ndoa amwangalie kwanza mwenzake kama ana alama au la!

  Mawazo yake yalipingwa sana kuepuka unyanyapaa.

  Zimbabwe ndio ikamaliza kazi Kwa mbunge kama yule na Waziri mkomavu Kumshawishi Comrade Mugabe, R.G aruhusu waume wawe na nyumba ndogo kisheria...(ingawa ni off topic lakinin nimekumbuka tu)

   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna kampuni nyingene inaitwa Hai wafanya kazi wake nao wananyodo hujapata kuona...
   
 19. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  wewe sio m2 wa Bukoba kweli?
   
 20. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Georgeallen, Karibu kwa Madiba...naomba ukija njoo bila passport. Shukia OR Tambo IA. (Zamani ulikuwa unaitwa JIA). Na mizigo yako...usijali halafu tuwasiliane nitakuja kukupokea..Nipigie katika mobile yangu +27 725 22 98 .. hizo tarakimu mbili nitakupa ukinipm kwamba unakuja. Ila usije kuzurura, utaaibika sana....Karibu sana Mkuu.
   
Loading...