Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,826
- 14,018
Nikiwa Kariakoo majira ya saa 18:30 nikaona kiza cha ghafla! Si kawaida kukuta kariakoo yote haina umeme ila kadri nilivyosogea mpaka mtaa wa kongo nikakuta hali hiyohiyo ya kiza, kupiga simu home Tabata naambiwa nako hakuna Umeme anzia jioni!
Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?
Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?