Kibera umeiona??Tandale cjaiona hapo
Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Umeonesha fly overs na round abouts za nairobi...Previous drone view ya Nairobi ya mleta uzi ni poa zaidi ya hii, kama hii uloweka ndo unasema the best basi Nairobi ishapitwa na Dar.