Hahaaaa shukrani lakini mimi ni mwananchi kawaida wa nchi yangu yaani nimekua na kusomea sehemu tofauti za nchi yangu kuanzia primary hadi university na zote ni public....Naona umemea pembe uongezee mkia......
Nimeshangaa hujafika Nairobi kwa jinsi wewe hupanga mada zako ni kama hukusomea Tanzania.
Video ya pili niliileta kwa kusudi la kuonyesha hayo ma-flyover, yaani ndio leo Dar mnahangaika na flyover ya kwanza pale TAZARA wakati sisi tumechoka nazo maana zinaenendelea kujengwa.
Leo hii tumeanza michakato ya double decker kwenye Uhuru highway, picha yake hii hapa
Acha maneno waka muziki
Naona umemea pembe uongezee mkia......
Nimeshangaa hujafika Nairobi kwa jinsi wewe hupanga mada zako ni kama hukusomea Tanzania.
Video ya pili niliileta kwa kusudi la kuonyesha hayo ma-flyover, yaani ndio leo Dar mnahangaika na flyover ya kwanza pale TAZARA wakati sisi tumechoka nazo maana zinaenendelea kujengwa.
Leo hii tumeanza michakato ya double decker kwenye Uhuru highway, picha yake hii hapa
Na sisi tunaendelea na michakato kumaliza changamoto ya jiji leo lenye muonekano maridhawa wa chini kwa chini bila flyovers
Dar es salaam beautiful city
source: Hussein Muccadam
Acha maneno leta drone video.Hahahaha! Mmefanya vizuri! Dah! Huu mji sijui mtaufanya nini lakini hauna order yoyote!!