Dar es Salaam to get modern Urban Metro Rail system soon, with help from India

Dalili ya mvua ni mawingu! Nadhani kiingereza kilichotumika si kigumu na watu wengi wameelewa habari. Ila wanashangaa vipi tena tunakimbilia kule kule tulikolizwa ikitiliwa maanani wenyewe hawana usafiri mzuri wa reli? Tatizo liko kwenye heading labda!
Chanzo cha habari ni kipi? Na kinasema nini?
Zinazotafutwa ni funds, technology, au Management kutoka India?
Je, kuna hata kimojawapo kilichopatikana?
 
Umesema neno la maana, huyo jamaa kazi yake ni kupiga porojo tu.

Hebu tumuulize swali, hivi ule mradi wa treni za kutoka Airport hadi city centre jijini Dar za yule mwekezaji Schumacer, ambaye inadaiwa alimpa 'takrima' ya saa ya Rolex mkulu, hivi ule mradi nao ulifia wapi?

Hii TZ inastahili kuingizwa kwenye Guiness World records, kwa viongozi wake kuwa ndiyo wanaowapiga 'fix' wananchi wao kuliko viongozi wa Taifa lolote hapa Duniani!

Jamaa ameharibu taasisi ya URAIS, sasa ni choo kila mmoja anaweza akawa Rais. Wema, King majuto, Diamond, and the like watatangaza nia soon!
 
Same story we are used to hear, particularly at the time nearing general election
 
Hivi ile mikataba sita iliyosainiwa huko China mwaka jana 2014 imefikia wapi?

Mkuu baadhi ya viongozi wetu hawachangamkii mikataba ya Kichina China kutokana na Taifa hilo kuwa wakali linapokuja suala la kutoa hongo, baadhi ya Watanzania wenzetu waliopewa dhamana ya kuendeleza Taifa letu wakiona mikataba ambayo hawawezi kufaidika nayo kibinafsi, basi wanatafuta mbinu za kuikwamisha. Tabia zetu mbovu ndio zinawafanya Wachina kwenda kuwekeza Kenya, sisi tunabaki kulalama na kumtafuta mchawi!
 
Chanzo cha habari ni kipi? Na kinasema nini?
Zinazotafutwa ni funds, technology, au Management kutoka India?
Je, kuna hata kimojawapo kilichopatikana?
Kiwacho chochote kinachotafutwa, kimepatikana au la, lakini huko wanakotafuta siko.
 
Mkuu baadhi ya viongozi wetu hawachangamkii mikataba ya Kichina China kutokana na Taifa hilo kuwa wakali linapokuja suala la kutoa hongo, baadhi ya Watanzania wenzetu waliopewa dhamana ya kuendeleza Taifa letu wakiona mikataba ambayo hawawezi kufaidika nayo kibinafsi, basi wanatafuta mbinu za kuikwamisha. Tabia zetu mbovu ndio zinawafanya Wachina kwenda kuwekeza Kenya, sisi tunabaki kulalama na kumtafuta mchawi!
Mkuu wangu huo ndiyo ukweli sisi tumebaki na porojo tu.
 
wahindi ni matapeli wa dunia india tu ina trafick ya hatari miji kama mumbai,bangalore,delhi na culcata mnyororo ni wa hatare na kwenye treni hadi kwenye cabin kuna binadam sidhan kama india ni mfano mzuri mukulu hajitambui akalime tu nanasi na matango pori hana jipya
 
Hapo sasa
India kwenyewe ni shida tupu, usafiri ni kurundikana tu kwenye matreni, eti leo waje kuboresha usafiri wetu

Hapo sasa! Badala waende UK au Spain.
Wahindi wenyewe wa Tz ni maskini , wamekatalia ndani ya Nyumba za Mwl JK Nyerere za NHC
 
Why not Sweden, Denmark stupid this country. Wahindi never on earth in such bussiness

... Germany mi broda!
Kama ni issues za South-South cooperation si tuuziane tu korosho, curry powder nk? Haya mengine ya teknolojia tuwafikirie waliobobea katika masuala husika na sio INNOVATORS!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom