Dar es Salaam to get modern Urban Metro Rail system soon, with help from India

crowded.jpg

Kikwete asituletee umatonya hapa wale wahindi wa Rites waliowaleta wakatuulia reli YETU bado wanaweza kukaa na India kuongelea reli ...

Hatutaki hata buree

Mabehewa mabovu Juzi tu wameleta ..hakumbuki ?.
 
Hawa jamaa si ndo walikuja na mtaji wa Tsh 50.000 mpaka akina Rwegasira enzi hizo wakapambana nao mpaka Rwegasira akatolewa kafara? wazee Wa Rites
 
MKUU nilikuwa huko siku so nyingi Metro yao so mchezo.na ticket zake ni za kielectronic.
It is day dream, kwa serikali iliyoko madarakani ya magamba kutekeleza mradi wa gharama kubwa kama huo.
 
Watanzania.... Watanzania.... !!! Mmelogwa au mnaugua ugonjwa wa kusahau.
Yule daktari wamaboxi alisaini mkataba na Mwakyembe kujenga treni toka airport mpaka city center kabla ya mwisho wa mwaka jana. Mmesahau na manashadikia uwongo mwingine.
Metro train!!!! kama barabara za pembezoni shida hii ni ndoto ya mchana.
 
Hawa jamaa si ndo walikuja na mtaji wa Tsh 50.000 mpaka akina Rwegasira enzi hizo wakapambana nao mpaka Rwegasira akatolewa kafara? wazee Wa Rites
Mkuu Rweye, hebu acha kuwakumbusha wapenda haki machungu kwa maana na habari yenyewe ni chungu pia.
Unakuta hazina pesa unaanza kutumia (sijui kufanyia nini) mpaka zinaisha.
Unakopa na kukopa pesa za kuendesheshea shughuli za kila siku za serikali mpaka deni linazidi trillion 40.
Mwisho ni pale unaposhtuka kuwa mwaka 2005 $1 ilikuwa sawa na TZS 650/- na leo unaiona ikiwa TZS 2,350/- ...unachukua 'maamuzi magumu' ya kukopa $800m ili kupandisha thamani ya shilling!!!!!
Hili la treni nimelikuta hapa, ugumu wa maisha unatufanya kutokumbuka vizuri lakini RITES ilitoka India na ni kati ya mwaka 2005 na 2015 ...au nimekosea!? Naomba kukosolewa kama nimekosea.

India ni kama lowasa nipe nikupe sasa unategemea nini. Unapenda namba hujui hesabu.
 
Very true mkuu. Dar hakuna miundo mbinu full stop.
Nairobi ina magari mengi zaidi. Inatakiwa kutengeneza mfumo mpya wa barabara Dar
Akili hizi watawala wetu hawa ccm hawawezi Kuwa nazo
 
Watanzania tujifunze kiingereza, lugha hii ni ya kimataifa na informations nyingi zipo kwenye lugha hii. Kiswahili ni lugha yetu, ila kiingereza kitatusaidia kupanua mawazo yetu, kwa sababu hali ilivyo sasa hivi inatia aibu.

Source ya habari inasema kuwa "Tanzania inatafuta udhamini". Na mwandishi ameweka kichwa cha habari knachosema "Tanzania kupata reli ya mjini hivi karibuni".
Ndani ya habari hiyo, hakuna chochote kinachosema kuwa Dar itapata Metro karibuni, na hakuna sehemu yeyote inayosema kuwa India itajenga reli au kuleta mabehewa. Hakuna habari yeyote inayosema kuwa India imekubali, ina nia au imetoa hela yeyote ya kutengeneza Metro Dar.

Kilichozungumzwa humo ndani ni kuwa Rais Kikwete aliomba Msaada kutoka India wa fedha za kujenga miundombinu. Waziri mku Mdi wa India hakusema lolote lile ila, kampuni moja ya kuwekeza kwenye miundombinu inayoitwa IL & FS imeonyesha nia.

Kila anayeenda Airport lazima apite TAZARA. What a shame! Terminal mpya ya Airport ikiwa operational, tatizo la foleni litaongezeka kama hatua za makusudi hazitachukliwa. Tatizo letu kama ilivyo kwenye afya tunafikiria kutibu badala ya kukinga.

kwa nini wa Kimara apite Ubungo, TAZARA kwenda Airport? Hata wa Tegeta hana sababu ya kupita Mwenge, Ubungo, TAZARA. Wa Mbagala ana sababu gani ya kupita TAZARA kwenda Airport?

Tatizo tuna viongozi wanaofikiria miaka mitano mbele badala ya angalau miaka hamsini. Ukipanua Airport lazima ujue implications zake.

Angalia tatizo la maji. Bado miundombinu ni ile ya kuhudimia wakazi laki tano wa Dar! Hakuna anayefikiria kuweka miundombinu ya wakazi million angalau 20 kwa sasa.

Ile iliyotumika so far kwenye vyandarua na kampeni zake, ilitosha kuondoa mazalia ya mbu na kupunguza malaria Dar kwa asilimia 95%
Wanajamvi tatizo letu kuu ni panya wa nch hii wapo huru sana na wanatafuna kila shilingi ya umma.tukifanikiwa kupata sumu ya kuwaua au mtego wa kuwakamatia basi tatizo la foleni Dar na matatizo yote yanayotukabili yatakuwa historia
 
Kweli watanzania tunapenda kulizwa. Juzi tu tumeletewa mabehewa mabovu. Sikumbuki deal yoyote na india isiyokua na dosari Mkataba wa TRL ikiwa mojawapo. Wahindi teknolojia yao inawafaa wao tu sijui kwa nini tunajiingiza kichwakichwa wakati ni biashara sio bure. Tukumbuke rahisi hasara.

Hivi India inakitu cha kujivunia kuhusu masuala ya Urban Metro Rail kweli??? Wenye mifano ya kuigwa ni Wachina - ndio maana Uingereza, Merikani na nchi za latin America wamaingia mikataba na China kuwajengea mifumo ya reli za metro, hakuna anaye angahika na Wahindi ambao abaria wao uruhusiwa kusafiri juu ya mabehewa!!!!
 
Wanajamvi tatizo letu kuu ni panya wa nch hii wapo huru sana na wanatafuna kila shilingi ya umma.tukifanikiwa kupata sumu ya kuwaua au mtego wa kuwakamatia basi tatizo la foleni Dar na matatizo yote yanayotukabili yatakuwa historia

Ujumbe wako umebeba dhana nzito sana. Hilo ndiyo tatizo letu la msingi. Bila kuwadhibiti hao panya, hakuna litakalo fanikiwa.
Hao panya wapewe sumu wafie mbali ili wenzao waone mfano.
 
Watanzania tujifunze kiingereza, lugha hii ni ya kimataifa na informations nyingi zipo kwenye lugha hii. Kiswahili ni lugha yetu, ila kiingereza kitatusaidia kupanua mawazo yetu, kwa sababu hali ilivyo sasa hivi inatia aibu.

Source ya habari inasema kuwa "Tanzania inatafuta udhamini". Na mwandishi ameweka kichwa cha habari knachosema "Tanzania kupata reli ya mjini hivi karibuni".
Ndani ya habari hiyo, hakuna chochote kinachosema kuwa Dar itapata Metro karibuni, na hakuna sehemu yeyote inayosema kuwa India itajenga reli au kuleta mabehewa. Hakuna habari yeyote inayosema kuwa India imekubali, ina nia au imetoa hela yeyote ya kutengeneza Metro Dar.

Kilichozungumzwa humo ndani ni kuwa Rais Kikwete aliomba Msaada kutoka India wa fedha za kujenga miundombinu. Waziri mku Mdi wa India hakusema lolote lile ila, kampuni moja ya kuwekeza kwenye miundombinu inayoitwa IL & FS imeonyesha nia.

Please revisit HEADING.
 
Dalili ya mvua ni mawingu! Nadhani kiingereza kilichotumika si kigumu na watu wengi wameelewa habari. Ila wanashangaa vipi tena tunakimbilia kule kule tulikolizwa ikitiliwa maanani wenyewe hawana usafiri mzuri wa reli? Tatizo liko kwenye heading labda!
 
Yaani kipofu amwongoze kipofu mwenzie? Wapi na wapi?

Hapo sasa
India kwenyewe ni shida tupu, usafiri ni kurundikana tu kwenye matreni, eti leo waje kuboresha usafiri wetu
 
Jk alionekana kama ana mambo mengi kichwani. Sijui salma alimvuruga hotelini?
 
Watanzania.... Watanzania.... !!! Mmelogwa au mnaugua ugonjwa wa kusahau.
Yule daktari wamaboxi alisaini mkataba na Mwakyembe kujenga treni toka airport mpaka city center kabla ya mwisho wa mwaka jana. Mmesahau na manashadikia uwongo mwingine.
Metro train!!!! kama barabara za pembezoni shida hii ni ndoto ya mchana.

Shumake Train kalamba mkopo ..guarantor ni serikali ya Tanzania na reli hajajengs ....Kati ya madudu ya mwakyembe
 
Back
Top Bottom