Dar es Salaam to get modern Urban Metro Rail system soon, with help from India

Dar es Salaam to get modern Urban Metro Rail system soon, with help from India

India ina maskini fukara fukuru, aachane nao tu, wahindi umaskini wao wa raia wengi ni hatari, yeye arudi home amlilie Obama tu...!!!
 
Hivi kwa nini asiondoke bila kumwachia mizigo rais Ajaye?
Miaka kumi si angejenga? Sasa anataka kula cha juu lakini jumba bovu aje kuhangaika nalo mwingine?
Wachina wanajenga hizo reli hadi ulaya. Za India zinawafaa wenyewe.
 
crowded.jpg

Aisee mtu akiona hivi anaweza kuamini ni exaggeration...
 
Bado hatujaamua kuwa serious...
Tatizo la Dar es Salaam si kubwa kama tunavyoaminishwa..
Tunatumia miundombinu aliyoiacha Nyerere wakati dar ina magari 1000.

Very true mkuu. Dar hakuna miundo mbinu full stop.
Nairobi ina magari mengi zaidi. Inatakiwa kutengeneza mfumo mpya wa barabara Dar
 
zitakuwa za kisasa kama Ethiopia au sukuma twende!
Huwa naonaga matrain ya India yanavyojaza abiria mpaka juu ya cabin/ kwanini tusiongee na wachina wana modern train na pja wamefaulu ktk fast train operation!
MKUU nilikuwa huko siku so nyingi Metro yao so mchezo.na ticket zake ni za kielectronic.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    12.8 KB · Views: 239
  • download.jpg
    download.jpg
    9.6 KB · Views: 225
  • images (4).jpg
    images (4).jpg
    8.2 KB · Views: 232
  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    10.5 KB · Views: 223
  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    9.5 KB · Views: 189
MKUU nilikuwa huko siku so nyingi Metro yao so mchezo.na ticket zake ni za kielectronic.

Tatizo la nchi yetu ni kujiingiza katika mikataba ya kifisadi!

Waliouwa TRL si Wahindi hao hao?!

Badala ya kuwaogopa kama ukoma bado tunaendelea kuwakumbatia!!
 
Yaani kipofu amwongoze kipofu mwenzie? Wapi na wapi?

Sidhani kama kauli yako iko sahihi!! There is a substantial difference between Tanzania and India in terms of infrastructure!! Nimekaw hapa india yapata miaka miwili sasa. Hizi metro zipo kwenye majiji mengi tu hapa India.
Kinachotusumbua watanzania ni kudhani, kwa kufikirika tu, kwamba tuko sawa na India kimaendeleo!! Ukweli ni kuwa tumepigwa gap kubwa tu.

Nisichopenda kwa hawa ni ile dharau yao kwa nchi za Africa. Makampuni yao yabafanya makusudi kwa kufanya vitu chini ya viwango yakijua waafrika ni mbumbumbu hatutajua kipi bora kipi kimeo! Na ndo maana tenda walizopata kama huo mradi wa train waliaunderperfomlrm, ilihali kwao hapa train ndo backbone ya usafiri na uchumi kwa ujumla!
 
Very true mkuu. Dar hakuna miundo mbinu full stop.
Nairobi ina magari mengi zaidi. Inatakiwa kutengeneza mfumo mpya wa barabara Dar

Kuwa kiongozi wa Tanzania haihitaji uwe na akili kama za Albert Eistein...

Kama idadi ya watu inaongezeka basi huduma zote za jamii zihamishiwe nje ya miji...

Viwanda visijengwe tena ndani ya Dar, wanatakiwa waufanye mkoa wa pwani kuwa wa viwanda, kwanini kurundika viwanda vyote dar?

Kunatakiwa kuwe na dry port chalinze au morogoro ambapo makontena yote yanapelekwa huko kwa kutumia treni maalumu, hii itasaidia kuzuia malori yanayoingia ndani ya jiji kutoingia tena...

Walitakiwa kujenga feeder roads zote ziwe kwenye viwango vya lami, hii itapunguza kukutanisha watu kwenye junction moja...

mfano mtu anayetokea Kibaha anataka kwenda airport hana haja ya kuja ubungo, apite barabara inayoingia mbezi na kutokea airport...

Watu wasijenge kwenye hifadhi ya barabara ili iwe rahisi kufanya upanuzi wa barabara wakati inahitajika, angalia pale tanesco ubungo, utapanaje barabara?

Tuna viongozi wajinga sana dunia hii haijawahi kutokea....
 
Kila anayeenda Airport lazima apite TAZARA. What a shame! Terminal mpya ya Airport ikiwa operational, tatizo la foleni litaongezeka kama hatua za makusudi hazitachukliwa. Tatizo letu kama ilivyo kwenye afya tunafikiria kutibu badala ya kukinga.

kwa nini wa Kimara apite Ubungo, TAZARA kwenda Airport? Hata wa Tegeta hana sababu ya kupita Mwenge, Ubungo, TAZARA. Wa Mbagala ana sababu gani ya kupita TAZARA kwenda Airport?

Tatizo tuna viongozi wanaofikiria miaka mitano mbele badala ya angalau miaka hamsini. Ukipanua Airport lazima ujue implications zake.

Angalia tatizo la maji. Bado miundombinu ni ile ya kuhudimia wakazi laki tano wa Dar! Hakuna anayefikiria kuweka miundombinu ya wakazi million angalau 20 kwa sasa.

Ile iliyotumika so far kwenye vyandarua na kampeni zake, ilitosha kuondoa mazalia ya mbu na kupunguza malaria Dar kwa asilimia 95%
 
View attachment 262213

Tanzania is seeking funding from India to build a metro rail network in its commercial capital, Dar es Salaam, the president's office said in a statement on Saturday.

Dar es Salaam, with a population of over 4 million, is one of the fastest-growing cities in sub-Saharan Africa, but like many other African cities it faces a crippling traffic congestion problem.

President Jakaya Kikwete said in the statement that India's Infrastructure Leasing & Financial Services Ltd (IL&FS) had expressed interest to invest in the metro rail. He did not say how much the metro project would cost.

The Tanzanian president met Indian Prime Minister Narendra Modi in New Delhi on Friday and made an official request for funding for the project.

Tanzania said last month it plans to spend around $2 billion to build new roads and a bus rapid transit system to unclog traffic in Dar es Salaam.

The plan would include the construction of fly-overs and bridges, using budgetary allocations from the government's 2015/16 fiscal year starting in July.

The east African region, which has seen significant discoveries of energy in Kenya, Uganda and Tanzania, has been racing to build new transport links to make up for decades of neglect and under-investment.

Tanzania and India plan to boost annual bilateral trade, which currently stands at around $4 billion, officials said. India's Rites Limited won a 25-year concession in 2007 to operate Tanzania's state-run railway firm but the deal collapsed five years later due to under-investment and inefficiency problems.

Source:Tanzania seeking India funding for urban metro project

Hivi kwa nini msiende nchi zilizoendelea katika usafiri wa reli badala yake mnaenda India,Kila siku mnaona kwenye television kuhusu usafiri wao pamoja na ajali ,This is typical joke
 
Kila anayeenda Airport lazima apite TAZARA. What a shame! Terminal mpya ya Airport ikiwa operational, tatizo la foleni litaongezeka kama hatua za makusudi hazitachukliwa. Tatizo letu kama ilivyo kwenye afya tunafikiria kutibu badala ya kukinga.

kwa nini wa Kimara apite Ubungo, TAZARA kwenda Airport? Hata wa Tegeta hana sababu ya kupita Mwenge, Ubungo, TAZARA. Wa Mbagala ana sababu gani ya kupita TAZARA kwenda Airport?

Tatizo tuna viongozi wanaofikiria miaka mitano mbele badala ya angalau miaka hamsini. Ukipanua Airport lazima ujue implications zake.

Angalia tatizo la maji. Bado miundombinu ni ile ya kuhudimia wakazi laki tano wa Dar! Hakuna anayefikiria kuweka miundombinu ya wakazi million angalau 20 kwa sasa.

Ile iliyotumika so far kwenye vyandarua na kampeni zake, ilitosha kuondoa mazalia ya mbu na kupunguza malaria Dar kwa asilimia 95%

Na pia kwanini kusiwe na miji ya viwanda ambayo ipo nje ya Dar? Walitakiwa waifanye Dar kuwa mji wa kibiashara na Pwani au Moro kuwa mji wa viwanda...

Mahitaji yote muhimu yanarundikwa city centre...

What a shame?
 
Mna nawazo mazuri sana jeee kwanini huwa hamtoi ushauri??
 
Mimi namwona Mchina kama mdau makini zaidi wa kufaya biashara naye mpaka sasa. Hajatokea mtu wa kumpiku tangu TAZARA mpaka pipeline ya gas toka MTwara. Sasa Mchina kaiatamia barabara bya TZ na ma Yutong yake hadi Scandinavia ameona bora akae pembeni kushadidia (Scania). Rais angemganda sana mchina alete kabisa viwanda vya machineries na magari hapahapa pawe center for Arican Chinese business. Tungefaidi zaidi kuliko hao macholicholi ambao wanaangalia faida kwanza na kuipeleka Canada.
 
Porojo nae si aondoke tired of this man
Umesema neno la maana, huyo jamaa kazi yake ni kupiga porojo tu.

Hebu tumuulize swali, hivi ule mradi wa treni za kutoka Airport hadi city centre jijini Dar za yule mwekezaji Schumacer, ambaye inadaiwa alimpa 'takrima' ya saa ya Rolex mkulu, hivi ule mradi nao ulifia wapi?

Hii TZ inastahili kuingizwa kwenye Guiness World records, kwa viongozi wake kuwa ndiyo wanaowapiga 'fix' wananchi wao kuliko viongozi wa Taifa lolote hapa Duniani!
 
Hawa wahindi si ndio walioimalizia TRL? Tusidanganyane, hizi ahadi za mwaka wa uchaguzi hamna kitu!
 
JK anatia aibu sana ..sijui ataacha lini tabia ya kuomba omba
 
Mtonya wetu hana maneno mengine ya kuongea akiwa ugenini zaidi ya kusema naomba hiki na kile. Kazi kweli kuwa na matonya kama kiongozi. Mtangulizi wake alikazana kumaliza madeni, yeye amekazana kuongeza madeni. afadhali amemaliza muda. Huu ulikuwa ni zigo mkubwa kwa miaka 10.
 
Kila anayeenda Airport lazima apite TAZARA. What a shame! Terminal mpya ya Airport ikiwa operational, tatizo la foleni litaongezeka kama hatua za makusudi hazitachukliwa. Tatizo letu kama ilivyo kwenye afya tunafikiria kutibu badala ya kukinga.

kwa nini wa Kimara apite Ubungo, TAZARA kwenda Airport? Hata wa Tegeta hana sababu ya kupita Mwenge, Ubungo, TAZARA. Wa Mbagala ana sababu gani ya kupita TAZARA kwenda Airport

Tatizo tuna viongozi wanaofikiria miaka mitano mbele badala ya angalau miaka hamsini. Ukipanua Airport lazima ujue implications zake.

Angalia tatizo la maji. Bado miundombinu ni ile ya kuhudimia wakazi laki tano wa Dar! Hakuna anayefikiria kuweka miundombinu ya wakazi million angalau 20 kwa sasa.

Ile iliyotumika so far kwenye vyandarua na kampeni zake, ilitosha kuondoa mazalia ya mbu na kupunguza malaria Dar kwa asilimia 95%
Mkuu Sibonike umeongea jambo la maana sana, hawa viongozi wetu kila siku wanalalama kuwa foleni za jiji la Dar zinasababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa siku.

Sasa hapo umeeleza jambo la msingi sana, ni kwa nini mkazi wa Kimara/Mbezi, wakati anaenda airport lazima apite Ubongo mataa?

Ni kwa nini pia mtu anayetoka Tegeta/Bunju anapoenda Kimara/Mbezi alazimike kupita Ubungo mataa?

Hebu wachumi wetu watusaidie, hivi ni vyema kwa Taifa letu ku-loose 4 billion Tsh kwa siku, kuliko kujikwamua na kutengeneza hizo barabara 2 kwa kiwango cha lami, ambapo urefu wa barabara zote hizo 2 hazizidi kilomita 30?

Halafu hapo hapo anatokea kiongozi wa nchi anaenda kwenye nchi kama India kuwakaribisha wawekezaji watakaojenga reli ambayo itawagharimu walipa kodi masikini wa nchi hii zaidi ya 2 billions US dollars!

Tunaomba wachumi wetu mtusaidie, iwapo mradi wa mabasi ya BRT kutoka Kimara Kwenda Feri tu, umbali usiozidi kilomita 20, hadi hivi sasa ushachukua zaidi ya miaka 5 haujakamilika, hivi huo mradi wa treni si utachukua hadi miaka 50 kabla haujaisha?

Hivi kwa nini nchi hii viongozi wetu wanaendelea kuiendesha kiusanii,sanii na ki-comedian,comedian?!
 
Back
Top Bottom